Elections 2010 Amani na usalama isiwe mwamvuli wa kuficha maovu ya ccm

Jan 16, 2007
721
176
Baada ya uchaguzi wa Rais,Wabunge na madiwani 2010 uliotawaliwa na kila aina ya mizengwe toka chama tawala CCM.Sasa zimezuka kauli za kulinda amani na usalama wa nchi yetu,chama tawala kinaviashiria vyama vya upinzani kutoichezea amani na utulivu.Kauli za vitisho toka kwa vyombo vya usalama kabla na baada ya uchaguzi,Mahojiano ya Waziri mkuu MIzengo Pinda,JK na viongozi mbalimbali wa chama tawala.Kunapokua na hali ya upotevu wa amani na utulivu ni lazima kuwe na sababu,sabau zinaweza kua kutoka upande mmoja au mwingine nikiwa namaana ya CCM chama tawala au vyama vya upinzani.Ukifanya tathimini ya hata kwa mtoto wa darasa la kwanza ataona chanzo cha kusababisha upotevu wa amani na utulivu ni chama tawala CCM na sio wapinzani>Ninania akushuhudia vituko vya chama tawala kuanzia kampeni hadi kutangazwa kwa matokeo kulivyo gubikwa na mizengwe kuanzia watu kunyimwa haki ya kupiga kura kwa sababu za kijinga mfano wanafunzi wa vyuo vikuu,watu kutoona majina yao katika daftari la kupigia kura ,kuchanganywa kwa majina ya wapiga kura,tofauti kubwa ya idadi ya waliojiandikisha kupiga kura nawaliopiga kura,mbinuza kutaka kuiba kura na kucheleweshwa kutoa matokeo ya kura kwa maimbo ambapo wapinzani walipata ushindi,mfano mwanza,Arusha,shinyanga,Dar ,Mbeya n.k.Ambakomatokeo yalitolewa kwa shinikizo la wapiga kura ambao waliamua kulinda kula zao ambapo nguvu za dola zilitumika katika kuwatawanya wananchi waliokua wakilinda haki yao.La mwisho ni idadi iliyopiga kura ana asilimia iliyo muweka madarakani JK ni aibu!Akianglia sababu nilizozitaja hapo juu unaweza kupata nani yuko katika au anaweza kua chanzo cha upotevu wa amani na uttulivu kama sio CCM?Cha ksikitisha CCM ambao ndio wanapashwa kulinda amani na utulivu.Navishauli vyama vya upinzani kutumia haki zao za kisheria kulinda haki za wanachi MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Inaelekea CCM wamechoka na amani ndo maana wanachakachua uchaguzi, hawa watu bila aibu wanafanya hivi halafu wanakimbilia kwenye vyombo vya habari kuhubiri amani inabidi wajue kitu kimoja kuwa watu wakichoka na dhuluma hawajari tena amani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom