Amani: Maandamano ya CHADEMA, maumivu makali kwa CCM na makuwadi wake

Kuna formula niliisoma jana kwenye gazeti la MwanaHalisi sikumbuki mwandishi wake lakini nikaipenda.
Formula hiyo inakwenda hivi
MAANDAMANO - INTELENGESIA = UTULIVU
Hiyo formula imekuwa proved kwenye maandamano ya Mwanza, Msoma, Shinyanga na Kagera.
Kwa wale mliojifunza hesabu kidogo, hivyo basi
MAANDAMANO + UTULIVU = INTELENGESIA
INTELENGESIA = VURUGU

Kwahiyo basi mimi ninaona card ya mwisho iliyobaki kwa CCM ni kuzuia maandamano ya amani ya CDM kwa kisingizio cha
intelengesia ili kuamusha hasira za watu ili vurugu zitokee. Hiyo formula imekuwa proved Arusha (M + U = I, I stands for vurugu)

Kuwashika viongozi wa CDM it is too late JK hana ubavu huo unless aache kutembeza bakuli kwa wahisani. Hivyo turufu ya JK na CCM
imelala kwenye intelengesia ya Said Mwema, kupiga marufuku mikutano na maandamano ya CDM ili polisi waanzishe vurugu na kuwapiga raia risasi za moto.

Hapo kwenye red"Ndimara Tegambwage" ndio mwandishi
 
CCM wamechoka kimawazo na hata akili pia na pia kama wangekuwa na uwezo wa kusema kweli basi wangejibu kwa kutumia lugha nzuri na siasa za ushindani na hivyo wao wanaona au kuzoea vyama vya msimu kama hawa wengine kuona kuwa wanakuwa active wakati tu wa uchaguzna sio siasa za kila siku Safi sana kwa CHADEMA kuona kuwa wanakuwa Imara sana kwa kila siku na pia itakuwa vizuri sana kuona watu wanajua haki zao, CCM wajue enzi zile sio za Leo hii Dunia leo inawaza, Walianza kwa kukataa Katiba mpya na sasa wamekubali sasa hawa jamaa ni wa hivi hivi kila siku hivyo hawana Jipya kwa CHADEMa wamewafundisha mengi sana
 
Nimefuatilia Matamko mbalimbali ya Viongozi wa Serikali na wale vyama vya Upinzani.

1. Alianza Rais kueleza kwamba CHADEMA kinachochea Vurugu katika Maandamano yake kinachoyafanya nchi nzima

2. Akaja Wasira kueleza kwamba CHADEMA kinachochea Vurugu katika Maandamano yake kinachoyafanya nchi nzima

3. Akaja Mrema kueleza kwamba CHADEMA kinachochea Vurugu katika Maandamano yake kinachoyafanya nchi nzima

4. Akaja Cheyo kueleza kwamba CHADEMA kinachochea Vurugu katika Maandamano yake kinachoyafanya nchi nzima

Nimejarabu kutafakari ni nini hasa kimewatuma hawa watu kutoa kauli hizo hapo juu

Je ni Uzalendo na Uchungu wa Kweli walio nao dhidi ya Watanzania Maskini ambao kila siku Serikali inaendelea kuwatia Umasikini kwa maagizo yao yasiyozingatia haki za Kibinadamu?

Je ni Kweli katika Maandamano yalianza Mwanza ya CHADEMA kuna mtu hata mmoja aliyelalamika kupigwa au hata kuvunjiwa duka lake na Waandamanaji?

Je baada ya Maandaamno, waandamanaji wamevamia ofisi yeyote ya Serikali ya ya Mtu Binafsi na kufanya Uharibifu?

Majibu ya Maswali yote hapo juu ni HAPANA

Sasa kama ni Hapana ni nini kimeisukuma Serikali kuja Hadharani na Kutoa Matamko ya Vitisho dhidi ya CHADEMA?

Jibu ni Rahisi sana,

SERIKALI inaumbuka

1. Sasa Inasali kila Kukicha Waandamanaji wa CHADEMA wafanye Vurugu

2. Inasali kila kukicha Viongozi wa CHADEMA wawachochee wafuasi wao kufanya Vurugu

Bahati Mbaya Sala zao hazijibiwi na SHETANI na Siku zinakwenda hakuna Machafuko wala Uvunjifu wa Amani, Wanaona Haya, Wanajisikia Aibu, Wanajisikia wana Hatia ya Vifo vya Waaandamanaji wa Arusha, Wanatamani Vurugu zitokee waseme "si Mnaona hawa jamaa ni watu wa Fujo, Tuliwaambie msiende kwenye Maandamano yenu"

Je Unafikiri Serikali imekata tamaa juu ya Kutengeneza Fujo katika Maandamano ya CHADEMA? kama unafikiri hivyo unajidanganya sana. Sasa watafanya nini?

1. Kutoa kauli za kuwa provoke Viongozi na Mashabiki wa CHADEMA ili nao wakijibu wapate mahali pa Kuanzia

2. Kuweka mitego ya kisheria kama ilivyotokea juzi Malampaka ili kuwakamata Viongozi wa CHADEMA, waamshe Hasira za Wananchi, wawapige Risasi halafu waje na Visingizio vya " Walitaka kuvamia kituo cha Polisi kutoa Viongozi"

Ushari wangu kwa CHADEMA na Viongozi na Mahabiki wake

1. Stay Focus on the Issue, Wahimizeni Mashabiki wenu wasilete Fujo na si vibaya mkawatahadharisha juu ya Mitego dhali ya Serikali

2. Msiwajibu akina Wasira, Mrema, Cheyo acheni Uma uwajibu kama Ulivyomjibu JK kule Bukoba ( Mkulu ameumia sana na Mwitikio wa watu baada ya kaauli yake ya kuwataka wawapuuze)

Asanteni

ni mwanzo tu,,,na bado!!!!
 
Sasa naamini kweli CHADEMA ni chama halisi cha Upinzani Tanzania,CUF,UDP,TLP,NCCR MAGEUZI na vingine ni mamluki wa CCM!!
 
Lazma wachimbe mkwara baana, we vp, hata kwe mechi lazma umchemshe mpinzani wako, japo kwa maneno, Mtu mzima hatishiwi Nyau, CHADEMA kanyaga twende.
 
Hawa wameisha walianza CDM wanaukabila{uchaga}
wakaja na udini maskini ndugu zenu waislam tukatekwa tukachagua CCM bt sasa hali ngumu ya maisha 2naiona hatimaye wameamua kusema CDM wanaleta vurugu bt me niko SHY TOWN na j3 maandamano yalienda vizuri hakukuwa na vurugu
 
Nimefuatilia Matamko mbalimbali ya Viongozi wa Serikali na wale vyama vya Upinzani.

1. Alianza Rais kueleza kwamba CHADEMA kinachochea Vurugu katika Maandamano yake kinachoyafanya nchi nzima

2. Akaja Wasira kueleza kwamba CHADEMA kinachochea Vurugu katika Maandamano yake kinachoyafanya nchi nzima

3. Akaja Mrema kueleza kwamba CHADEMA kinachochea Vurugu katika Maandamano yake kinachoyafanya nchi nzima

4. Akaja Cheyo kueleza kwamba CHADEMA kinachochea Vurugu katika Maandamano yake kinachoyafanya nchi nzima

Nimejarabu kutafakari ni nini hasa kimewatuma hawa watu kutoa kauli hizo hapo juu

Je ni Uzalendo na Uchungu wa Kweli walio nao dhidi ya Watanzania Maskini ambao kila siku Serikali inaendelea kuwatia Umasikini kwa maagizo yao yasiyozingatia haki za Kibinadamu?

Je ni Kweli katika Maandamano yalianza Mwanza ya CHADEMA kuna mtu hata mmoja aliyelalamika kupigwa au hata kuvunjiwa duka lake na Waandamanaji?

Je baada ya Maandaamno, waandamanaji wamevamia ofisi yeyote ya Serikali ya ya Mtu Binafsi na kufanya Uharibifu?

Majibu ya Maswali yote hapo juu ni HAPANA

Sasa kama ni Hapana ni nini kimeisukuma Serikali kuja Hadharani na Kutoa Matamko ya Vitisho dhidi ya CHADEMA?

Jibu ni Rahisi sana,

SERIKALI inaumbuka

1. Sasa Inasali kila Kukicha Waandamanaji wa CHADEMA wafanye Vurugu

2. Inasali kila kukicha Viongozi wa CHADEMA wawachochee wafuasi wao kufanya Vurugu

Bahati Mbaya Sala zao hazijibiwi na SHETANI na Siku zinakwenda hakuna Machafuko wala Uvunjifu wa Amani, Wanaona Haya, Wanajisikia Aibu, Wanajisikia wana Hatia ya Vifo vya Waaandamanaji wa Arusha, Wanatamani Vurugu zitokee waseme "si Mnaona hawa jamaa ni watu wa Fujo, Tuliwaambie msiende kwenye Maandamano yenu"

Je Unafikiri Serikali imekata tamaa juu ya Kutengeneza Fujo katika Maandamano ya CHADEMA? kama unafikiri hivyo unajidanganya sana. Sasa watafanya nini?

1. Kutoa kauli za kuwa provoke Viongozi na Mashabiki wa CHADEMA ili nao wakijibu wapate mahali pa Kuanzia

2. Kuweka mitego ya kisheria kama ilivyotokea juzi Malampaka ili kuwakamata Viongozi wa CHADEMA, waamshe Hasira za Wananchi, wawapige Risasi halafu waje na Visingizio vya " Walitaka kuvamia kituo cha Polisi kutoa Viongozi"

Ushari wangu kwa CHADEMA na Viongozi na Mahabiki wake

1. Stay Focus on the Issue, Wahimizeni Mashabiki wenu wasilete Fujo na si vibaya mkawatahadharisha juu ya Mitego dhali ya Serikali

2. Msiwajibu akina Wasira, Mrema, Cheyo acheni Uma uwajibu kama Ulivyomjibu JK kule Bukoba ( Mkulu ameumia sana na Mwitikio wa watu baada ya kaauli yake ya kuwataka wawapuuze)

Asanteni

hureee hureeeee hureeeeeeeeee mtanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tumeamka hatufanyi vurugu mabomu yenu mliyonunua kwa ajiri yetu na vifaru mjilipue wenyewe kwenye vikao vyenu
 
Amin Amin Nawaambieni hawa Jamaa wasiposoma Nyakati ya Nini Uma Unahitaji basi Uma utawahukumu 2015, wawaulize akina Mramba, Lau Masha, Dialo, Marmo ( Huyu jamaa alikuwa ana nyodo na mpaka sasa siamini kilichompata Mbulu), batlda na wengine wengi

Huyo wa pili kutoka mwisho hatasahau ukoo wangu mpaka aingie kaburini..alizoea kutishia watu na ushirikina sasa ameelewa nguvu ya rohoo mtakatifu na wisdom ambayo inaongeza inteligence kwa mwanadamu....Asirudie kumbughudhi ndugu yetu milele......Aangalie historia ya familia yetu imejengwa katika nini...we brought Christianity in that area so Christ is the only hope for glory to us; we know where we come from kutoka mavumbini mpaka kuketishwa na wafalme we belong to the almighty God the God who listen to prayers and answereth by fire..wa Monduli alijaribu kidogo naona alisoma alama za nyakati mapema.....An inocent person can never be victimised God has proved this to them!
 
Back
Top Bottom