Ama kweli

Chachua, chachua, chachuliaaa...

Chachua, chachua, chachuliaaa...

Chachua, chachua, chachuliaaa...
 
Kinde, kinde, kindeeeeee...

Kinde, kinde, kindeeeeee...

Kinde, kinde, kindeeeeee...
 
Chikonkodi, chikonkodi...

Naenda kwa Mwanahawa...

Chikonkodi, chikonkodi...

Naenda kwa Mwanahawa...

MWANAHAWA hanitaki, koti langu lina chawa...

MWANAHAWA nilivyompenda kama sinia la kahawa...

Sinia, sinia, walizani nitashiba...

Yale makombo ya jana yamechanganywa na Miba...

MWANAHAWA nipakulie chakulaaa....

Ukinipa nitakula...

MWANAHAWA nipakulie chakulaaa....

Ukinipa nitakula...

MWANAHAWA nipakulie chakulaaa....

Ukinipa nitakula...

Wee MWANAHAWA nipakulie chakula ukinipa nitakula...
 
Dudu hilooooo....

Lina jicho moja e...

Dudu hilooooo....

Lina jicho moja e...

Wanasema wanapandaaaa...

Hapana wanapishana...

Dudu hilooooo....

Lina jicho moja e...

Wanashuka, wanashuka...

Hapana labda wanabinuka...

Dudu hilooooo....

Lina jicho moja e...

Dudu hilooooo....

Lina jicho moja e...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom