Ama kweli mwaka huu ni mwaka wa vikombe! kikombe kingine chaibuka Mbagala!

kituro

Senior Member
Dec 25, 2010
176
15
nimesikia kwenye redio sasa hivi kuwa kuna kikombe kimeibuka mbagala, mwaka huu kuna watakaofikiri kuwa ni neema, na kuna watakaozani ni kulichafua taifaletu kwani watu watakuwa wanasema unatoka nchi gani, ukisema Tanzania watakuuliza ile nchi ya vikombe? ndugu mwenyemacho haambiwi tazama!
 
Ila nashukuru sasa hivi vikombe havitufanyi kuacha kujadili mambo nyeti kwa ustawi wa taifa letu....tumeshavizoe sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom