Ama kweli lowasa ana mungu kweli?je c shetani?

MAKAPILE

Member
Mar 27, 2012
8
1
Kutokana na kushidwa kwa .M.Buriani kushidwa kwenye uchaguzi 2010 hatimae aliandaa watu kwenda kumpinga mahakamani jembe lema na kufanikiwa.Hivi wadau lowasa ana Mungu kweli?Si ni devol anaesimama kwenye madhabau ya Bwana?
 
Lowassa sio binadamu ni shetani wa kutupwa

sijui kama Lowassa ana Mungu au hana, au kama Mungu yuko upande wake au la. niwezacho kusema ni kuwa Lowassa ni mtu mbinafsi sana na mtu kama huyo sio mzuri kuwa mtumishi wa watu wengi (umma). kila wakati maslahi yake ni ya kwake tu!
 
Historia inaonyesha hata Baba yake Mzee Ngoyayi,alikuwa Radicle sana na alikuwa na mambo ya kupiza akafukuzwa Umeruni thats why akahamia Mondoli Umasaini.
Huyu jamaa mission zake ni za ki fremason.Is very Dangerous Person.
 
One of the 48 laws of power if i remember correctly is destroy ur enemy totally,so since he is a threat to his power he left him no choice,but another is plan all the way to the end i guess he forgot this because he had no idea abt meru,n so he thought re election may give him back power but i think he is regreting this,CHADEMA headquarter ipo arusha mjini,
 
Asiyemjua Lowasa aulize watumishi waliofanya kazi Monduli. "Ofice za bunge" zipo tatu, nyumbani kwake, baa moja inayoitwa Engutoto(ni baa ya shemeji yake) au Baa nyingine inayoitwa Emanyata(hiyo ni baa yake mwenyewe).
Hupiga simu na kuwaagiza watu wamfuate aitha moja ya hizo sehemu na waeleze matatizo yake. Basicaly hapendwi, ila kama tulivyo watanzania, "Mfalme ni yule anayekupa choo".
 
Atakufa mdomo wazi huyo lowasa wenu na nguvu mnazomsema kuwa nazo. muda wake ukifika atalia na kukoboa meno, visimsaidie
 
Tushikamane tupambane na hizi nguvu za giza na uzandiki zidi ya haki.
 
Back
Top Bottom