Ama kweli dini na dunia

Taito yako haijanyooka vizuri, ukweli ni kuwa huyu bishop anadhani/anaamini kuwa binti anaweza kuwa alitekwa na kufichwa na wana-vatican, uchinguzi wa polis haukugundua hilo na kaburi walilohisi kuwa la binti lilikuwa la gangster.
 
Back
Top Bottom