tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 62
Niko vibaya kuanzia akili/kimwili na hata kipesa...sasa suluhisho langu nimeona nimtafute huyu bwana labda ataweza kuokoa hili jahazi...Bishanga nakupa first priority...hii ni special kwake kwa ajili ya thread yale ya leo kuhsu mafanikio yake....