Am Speechless!

Tufanye kuanzia saa kumi nadhani....hivi Vivian yuko wapi manake yeye ndiye anayesababisha haya mambo!
hehehe!wapwa smtmz wanahitaji ujasiri sana!haina mbaya.jaribu kuongea na x-pin akupe namba zake
 
nina siku ya tatu leo hata msosi hauendi vizuri, maana marehemu ninawafahamu hadi kwao, ni kijiji nilichokulia, am speechless too.
 
Back
Top Bottom