Am Speechless!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,354
Hebu fikiria:
Una rafiki yako mpendwa, mliyeshibana sana. Mmesoma darasa moja toka A-Level mpaka chuo kimoja. Bahati ikawanyookea mkapata kazi kampuni moja, kabla ya rafiki yako mwezi mmoja uliopita kupata kazi sehemu nyingine.

Na urafiki wenu huu ukapelekea na familia zenu kufahamiana na kuheshimiana sana.Mkawa mnashirikiana katika shida na raha.

Halafu ghafla asubuhi unapata simu ya rafiki yako. Kama kawaida unaipokea kwa utani lakini sauti ya rafiki yako kwenye simu si ya kawaida. Ana majonzi na sauti imekuwa nzito. Anakuuliza: umesikia ile ajali ya Same? unamwambia umeisikia. Then anamalizia kwa kusema: Ajali ile imemaliza familia yangu yote!

Ndicho kilichonifanya kuwa speechless kwa leo nisijue la kufanya. Nimechanganyikiwa nimsaidieje huyu rafiki yangu!

Please pray for his Dady, Sister, Brother and other 16 close relatives to Rest in Peace.
 
Pole sana Xspin na mpe pole zetu mshikaji. RIP marehemu wote; Mungu awapokee kwenye makazi yake ya milele.
 
Pole sana Mchumba,thats all I can say.Iam speechless just like you!

Huyu swahiba asingepata kazi sehemu nyingine, lazima angekuwa naye marehemu labda. Kule alikopata kazi wanimnyima ruhusa kwa kuwa alikuwa na mwezi mmoja tu tangu aanze kazi.
 
Dah,wanasema kazi ya Mungu haina makosa."Mshukuruni Mungu kwa kila jambo".
 
Huyu swahiba asingepata kazi sehemu nyingine, lazima angekuwa naye marehemu labda. Kule alikopata kazi wanimnyima ruhusa kwa kuwa alikuwa na mwezi mmoja tu tangu aanze kazi.

duu pole sana xpin, mumgu awe pamoja nanyi, poleni sana
 
In few words, that accident is a tragedy!
Tell him that he has to trust in the living GOD, coz as far as humans are concerned, there is nothing better he can do so far!..

Ukiweza nenda phyisically ukaonane naye umfariji katika wakati huu mgumu sana kwake!!

Short like that.
 
In few words, that accident is a tragedy!
Tell him that he has to trust in the living GOD, coz as far as humans are concerned, there is nothing better he can do so far!..

Ukiweza nenda phyisically ukaonane haye umfariji katika wakati huu mgumu sana kwake!!

Short like that.

Thanks PJ. Ndio niko kwenye huo mchakato. Kama si hizi kazi za kuajiriwa labda ningekuwa njiani mida hii kuelekea huko kwenye tukio.
 
yeuiwiii, jamani maisha haya!....pole sana chris na pole zimemwendee na frnd wako pia, lo na imagine hali aliyonayo kwasasa...
 
Thanks Nyamayao. Naumiza kichwa atakuwa katika hali gani. Nampigia simu hapokei.Naambiwa mama yake yuko kwenye koma kwa mshtuko.
 
\

Mungu amponye jamani, kufiwa kuckie kwa mwenzio tu ikikufika ni balaa.
 
oops, 16 relatives at once....oh I feel very sorry...kweli maisha ni mafupi sana...
 
Pole bro na mpe pole pia your best frnd, kazi ya mungu haina makosa, he must be in a great shock duhh!!!
 
R I P. May the good lord give you all strenght and courage to face this.
 
Xpin, Pole ndugu yangu!
Be strong and give thanks to God for everything...!
 
Back
Top Bottom