Am soooo tired of being lonely

nafikiri unachagua sana wanaume una focus zaidi muonekano na si kumpima mapenzi ya dhati kwako... pia yaelekea una majivuno na huchukui muda kupima m2 kwa mtindo huo ni ngumu kupata rit choice
 
My dear girl mtu hupata alichojaliwa sicho atakacho. You can never find a perfect man simply because nobody is perfect in every way. Get real, life is an approximation.
 
nafikiri unachagua sana wanaume una focus zaidi muonekano na si kumpima mapenzi ya dhati kwako... pia yaelekea una majivuno na huchukui muda kupima m2 kwa mtindo huo ni ngumu kupata rit choice

nachagua kiasi si sana nikimaanisha kuwa huwa naangalia vigezo vya msingi ambavyo hata wewe ungeangalia
 
My dear girl mtu hupata alichojaliwa sicho atakacho. You can never find a perfect man simply because nobody is perfect in every way. Get real, life is an approximation.

najua siwezi pata perfect man maana hata mimi siko perfect lkn mbona hata ninapopata anionyeshi mapenzi?inakuwa kama sina mpenzi!
 
Najua sio rahisi ila ukianza kufikiria jaribu basi kufikiria furaha utakayo kua nayo wakati utakua na mwenzio, usifikirii kwa upande wa negative zaidi (mbona mi sina, leo tena nitakua peke yangu) ila fikiria positive (maybe siku ya kukutana itakua ni hapa, sijui atakua anapenda movies kama mimi? etc) yaani kila feeling ya upweke ikija fikiria ni namna gani itakua mtakapo kua wote na utajiskia unakua na furaha kila wakati. sio rahisi mwanzo ila with time utaona unakua mwepesi tu na mtu anajitokeza kwa njia hukutegemea kabisa.
Unasema hutongozwi sana siku hizi ila kumbuka pia hakuna mtu anataka kumtongoza mwanamke who is as sad and depressed as you sound. watu wanataka mtu mchangamfu, mtu happy and alive.

ushauri umetulia huu...omba Mungu sana maana shetani yuko kazini...tafuta profile ya umtakaye then use 'eye technique' to catch him..
 
Maisha sometime yanakupeleka uckotarajia ! So endelea kuvumilia mambo yatakuwa mazuri, naamini hapa JF wapo mabachelor wengi tuu, kama kweli una sifa uluzoanisha cna wasiwasi utapata m2, wengi wanapenda vi2 vizuri na productive! i think ur valuable enough, dont give up,labda kama umri umeenda sana!

asante sana marumaru,kikubwa nilihitaji ushauri na mitazamo ya watu kuwa kwanini inakuwa hivi?
 
ushauri umetulia huu...omba Mungu sana maana shetani yuko kazini...tafuta profile ya umtakaye then use 'eye technique' to catch him..

asante moria,naomba nieleweshe eye teknik inakuwaje?
 
Tatizo lako ni kubwa na la kisaikolojia zaidi naomba tuliza akili ukiwa na papara utaambua kupata midume kama lako la awali. Niko via mobile siwezi kukuPM Je naweza kupata namna ya kukupata nikusaidie zaidi?

asante sana kiuhalisia ninahitaji ushauri kama ulivyosema,namshkuru sana RR wajitahidi sana kunipa a,b,c
 
Uzuri wako uko kwenye maeneo gani? Sura, tabia, umbo au kitu gani hebu tujuze ndugu!
 
asante moria,naomba nieleweshe eye teknik inakuwaje?

sisi hushawshka kwa kuona...jicho ni dirisha la moyo...ukimpiga men jicho la udadisi/ushawishi mara kwa mara naye akaliona...atavutika tu,atahisi unamfananisha..then... unamzimia lazima akutokee kukupa 'hujambo' ukijumlisha na ushauri wa russian..
 
Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.

...ukimpata utafanyaje?...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom