Am so much in love with excellent

He he he, mawifi wa hiari tupige vigelegele, kili kili kili kili, naona huyu mwali alikuwa keshamaliza darasa la saba. kajibu haraka.
Yule wmingine alikuwa ndo anakaribia kufanya mtihani wa mwisho ndo maana majibu yale yalikuwa " am humbled" " jf never boring"

mhh,wifi yamekua hayo tena?
 
Love is in the air ....
Weldone you two ..
I'm just waiting for pilau & kachumbari
 
arranged-marriage.jpg


...I May Now Pronounce Exellent & .......... as ................

we kivumah huyu bi harusi mbona kama dume,anacameroon nini?
 
No need to engage in love wth a man whom he does not love u,and if you can't withstand living withought him you there must be somethng wrong wth u.

he he slowly man,umeachwa nini maana maneno yanakutoka bila fulstop hujasoma alichopost?angalia maua yanavyonga'a na ujumbe mzito,napendwa mie
 
Mwanamke atampendaje mwenzake?SIJAWAI HONA .

wee wee tena ukome kabisa,chunga ndimi zako eh,we utajisikiaje ukiambiwa kaka ako demu?au mwenzangu ushazoea kucameroon?naempenda ni mwanaume rijali na zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom