Am so frustrated and in the big dilemma! I need ur help plzz!

kumbe mwanamke? nilipo ona sabry nilizani boy? pole jitahidi usiwakubali hata mmoja,,

Yaani mkuu unategemea hapa bongo boy atongozwe na wanawake watatu alete mada hapa? Si kuwalamba mara moja tu.maana akileta mada hapa watu watamzunguka mara moja na kuwapa haki yao.

Asanteni kwa ushauri wenu bandugu! Ingawa wanajiletaleta, nimepanga niwagonganishe wote mahali niwape ukweli wao, waniache nipumue mtoto wa mwenzao! Kha!

Asanteni kwa ushauri wenu bandugu! Ingawa wanajiletaleta, nimepanga niwagonganishe wote mahali niwape ukweli wao, waniache nipumue mtoto wa mwenzao! Kha!

Naona kama wazo lako sio zuri, kama hawapo moyoni mwako ya nini ujisumbue? achana nao tu, na ushikilie msimamo wako tu maana wanaweza kukugeuka wakasema kuwa wewe ndiye ulikuwa unawataka.

nisaidieni jamani kwani naweza kuwehuka. Ni wiki ya pili sasa tangu nianze field ktk shule moja huku kilimanjaro. Cku 3 za mwanzo ckuona shida kwani ckupata usumbufu ila kuanzia jtatu nimeanza kusumbuliwa kwani vijana 3 ktk hyo ofc kila mmoja ananitaka. Mmoja ni bursar na mtoto wa owner wa shule, wa pili ni academic na mwingine mwalimu mkuu msaidizi. Kwa kweli nimeshachanganyikiwa kwani kwa ukweli simtaki yeyote hapo cuz still nauguza majeraha ya moyo. Nifanyeje manake field ni mpaka september na wote kwa kiasi wana influence ktk ripoti yangu ya kurudi chuo? Nipeni mawazo jamani manake maisha na elimu yangu iko matatani!!

hapa wewe chagua mmojawao ambaye unaona roho yako inaona angalau anafaa, kumbuka kila jambo baya la kimapenzi huwa wakati mwingine linaishia na mambo mazuri, hususani linaishia katika ndoa....!

Hawawezi kuandika ripoti mbaya kama watakuona una msimamo, ila ole wako umkubalie mmojawapo, ndio utakiona cha mtema kuni, jiamini utaaminiwa, jithmini utathaminiwa

pole sana,waeleze ukweli kila mmoja kwa wakati wake,usiwape nafasi ya kukaa na wewe faragha,tanguliza neno KAKA kabla ya jina lake mfano KAKA Mosha,usikubali ofa yoyote hata soda kutoka kwa yeyote.Akikuandikia sms mbaya muonye kwamba ni hatari coz mpenzi wako anaweza akaiona.Usikubali mtu akushikeshike hata kama ni mikono yako,usiwape tabasamu mara kwa mara nk..

Kwa mujibu wa maelezo yako infuence ya hao watu ndo inakuchanganya,fikiria kipi bora hisia zako au riport yako baada ya kumaliza hiyo field!

Pole sana,ninacho weza kukushauri ni kwamba,jaribu kuwaelewesha labda wataweza kuku elewa.pole sana siz.

Nisaidieni jamani kwani naweza kuwehuka. Ni wiki ya pili sasa tangu nianze field ktk shule moja huku Kilimanjaro. Cku 3 za mwanzo ckuona shida kwani ckupata usumbufu ila kuanzia jtatu nimeanza kusumbuliwa kwani vijana 3 ktk hyo ofc kila mmoja ananitaka. Mmoja ni bursar na mtoto wa owner wa shule, wa pili ni academic na mwingine mwalimu mkuu msaidizi. Kwa kweli nimeshachanganyikiwa kwani kwa ukweli simtaki yeyote hapo cuz still nauguza majeraha ya moyo. Nifanyeje manake field ni mpaka september na wote kwa kiasi wana influence ktk ripoti yangu ya kurudi chuo? Nipeni mawazo jamani manake maisha na elimu yangu iko matatani!!

wana kiu na hicho kipochi manyoya chako, wakunjunji kisha wakuache

Confidence umeisoma, sasa ni 'practical' unatakiwa ujiamini na umwamini Mungu kuliko wanadamu. Ukiwa mtoto Wa kike huo ndio mwanzo na una safari ndefu ya kukumbana na rabsha hizo za wanaume hasa sehemu za kazi.Jiamini, silaha yako ni lugha na Mungu. Heshima yako itajengwa na lugha utakayotumia kupiga Chini hao jamaa. Kumbuka Jiamini, wengi watakuja sio Leo tu na pia field bali ni kesho na mwakani.

Back
Top Bottom