Am not In love, just curious

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
Mods, pse muuache hapa hapa MMU, niko siriaz, sitaki kuchitchat

Kama kichwa habari kinavyohusika
Hivi huu wimbo una maana gani?
Ni fasihi imetumika au ndo kama ulivyo?
Na naweza udedicate katika wakati gani?
Nimeshukiwa . . . .

Am crossing everything that can be crossed King'asti asije hapa

Hotel California - The Eagles

On a dark desert highway, cool wind in my hair
Warm smell of colitas, rising up through the air
Up ahead in the distance, I saw a shimmering light
My head grew heavy and my sight grew dim
I had to stop for the night
There she stood in the doorway;
I heard the mission bell
And I was thinking to myself,
"This could be Heaven or this could be Hell"
Then she lit up a candle and she showed me the way
There were voices down the corridor,
I thought I heard them say...

Welcome to the Hotel California
Such a lovely place (Such a lovely place)
Such a lovely face
Plenty of room at the Hotel California
Any time of year (Any time of year)
You can find it here

Her mind is Tiffany-twisted, she got the Mercedes bends
She got a lot of pretty, pretty boys she calls friends
How they dance in the courtyard, sweet summer sweat.
Some dance to remember, some dance to forget

So I called up the Captain,
"Please bring me my wine"
He said, "We haven't had that spirit here since nineteen sixty nine"
And still those voices are calling from far away,
Wake you up in the middle of the night
Just to hear them say...

Welcome to the Hotel California
Such a lovely place (Such a lovely place)
Such a lovely face
They livin' it up at the Hotel California
What a nice surprise (what a nice surprise)
Bring your alibis

Mirrors on the ceiling,
The pink champagne on ice
And she said "We are all just prisoners here, of our own device"
And in the master's chambers,
They gathered for the feast
They stab it with their steely knives,
But they just can't kill the beast

Last thing I remember, I was
Running for the door
I had to find the passage back
To the place I was before
"Relax, " said the night man,
"We are programmed to receive.
You can check-out any time you like,
But you can never leave.

Nimeshindwa kuattach, BAK atanisaidia:happy:
 
Last edited by a moderator:
dah nahisi unazungumzia
'addiction' ya 'life of rich and famous'
na madhara yake
mfano drugs na kadhalika

halafu unazungumzia 'madhara ' ya umaarufu
kuwa ukishakuwa maarufu huwezi tena kirahisi kurudi kuwa sio maarafu
'you can check out but you can never leave'

but hiyo ni jinsi nilivyoelewa mimi.labda sipo sahihi
 
Asante The Boss.Inawezekana kweli inazungumzia hiloNa hii verse hapa inafanya nini.So I called up the Captain,"Please bring me my wine"He said, "We haven't had that spirit here since nineteen sixty nine"And still those voices are calling from far away,Wake you up in the middle of the nightJust to hear them say...
 
sina hakika
labda fantassy za drugs hivi....
 
Huwa siuelewi, lakini naupenda sana afu nataka tu kuudediketi RFA.
Ndo maana nikauliza.

Nahisi ni fasihi kama ya kitabu cha 'Kusadikika'

kwani wewe ulielewa vipi?
ukiacha my interpretation?
 
ok nimethibitisha

huu wimbo unazungumzia drugs...addiction.....na kiu inavyowahangaisha addicts.....
 
Owkay, asante.

Ngoja nitafakari ni drugs za aina gani, au nichague tu aina ya addiction.

ok nimethibitisha

huu wimbo unazungumzia drugs...addiction.....na kiu inavyowahangaisha addicts.....
 
Huwa siuelewi, lakini naupenda sana afu nataka tu kuudediketi RFA.
Ndo maana nikauliza.

Nahisi ni fasihi kama ya kitabu cha 'Kusadikika'
Ok now i got the point, huwa najiuliza wale walugaluga saa 9 usiku huwa wanamtumia nani salamu? nimewahi kumsikia Mwita Obale anayeongea utadhani ni cherehani au Dr Ndodi, kumbe kina Kongosho nao wamo kwenye kundi hilo!!
 
Last edited by a moderator:
Mie ndio 'analamba ananata' kutoka pande za Igoma maeneo ya watu wazito.
Kweli nimeamini kila mtu na starehe yake, nakumbuka zamani enzi za Radio Tanzania kulikuwa na mtuma salamu mmoja maarufu sana kumbe baadaye nikaja kugunduwa ni jamaa tuko naye mtaa mmoja ni mlemavu fundi viatu, nilicheka sana, maana kununuwa card kwa wingi kiasi kile hadi akawa anaimbwa Sikinde kulikuwa hakuendani na kipato chake.
 
Mie hapa natakiwa saa kumi alfajiri niamke kwenda baharini lakini niko busy nadediketi nyimbo kwa watu.

Hobbie(afu sijui kiswahili chake) inahusu sana.

Baharini saa 10 kumi usiku kufanya nini? wewe mvuvi au una supply samaki Mahotelini asubuhi?
 
Kongosho...............are u a man or a woman......................ninaogopa kuendelea kabla ya kuwa na hili jibu......i learn very little from your avatar about your gender........................
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom