am i ....normal

Jamani pauline zaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,usiogope. Nimeshashuhudia kuna mmama mmoja jirani yetu hapo ilala dar, hakutaka kuzaa ujanani, akashtuka uzeeeni,kila akijaribu kutafuta wapiiiii? Sasa hv yu kama yatima nyumbani kwake,mumewe hashindi nyumbani,anatumia muda mwingi kwa kimada aliye zaa nae. Sasa huyu mama ameishia kuwachukua watoto wa kaka zake tena kwa nguvu ili awalee ila tu wakati shule zinapofungwa, wenye watoto wakija kuwachukua shule zinapofunguliwa anachukia balaa. Paule zaaa nakushauri zaaa haraka shauri yako.yu kama

nitazaa kama utanisaidia kulea,mie niende disco :happy::happy::happy:
 
hahah lizzy bana,nitagangamala,naona tunaelekea kwenye usingle-mother nisingependa ufike huko bwana:happy::happy:mie naongelea wababa wanaokwepa wajibu wao wa kulea kisa ni wanaume,.....sitagangamala peke yangu aisee nitamconfront na yeye atake part kwenye malezi!lol
Hahaha hamna bwana nataka usikatae kuzaa kwasababu ya mwanaume maana hata akikubali kuwepo anaweza kuondoka kwa lazima so kataa kuzaa kwasababu WEWE hutaki /hitaji mtoto!
 
Just curious, if your mom angefikiria zaidi kwenda kwenye party, sijui ku socialize sijui kuogopa kupoteza haki ya kulala usingizi UNGEKUWEPO DUNIANI?
 
....Nimeishi na dada yangu katika kipindi cha mwisho (last semmester) cha ujauzito mpaka alipojifungua mtoto wa kiume...mwenzenu sijui kwa nini,kumuona dada yangu anavyohangaika na mtoto limeniput off kabisaa mimi kuzaaa na kulea!.....jamani sio kazi rahisi especially siku za kwanza,nimeona hata usiku kila baada ya lisaa limoja mtoto alikuwa analia,inabidi ambembeleze ampe maziwa etc HULALI. .....pia kuwa na mtoto kumemzuia kwenda kusocialize kwenda club,parties etc....
...nauliza nyie wamama wa JF how do you balance being a mother,a wife ana may be full time worker........kwa sababu kila nikiangalia mwenzenu naona kama YATANISHINDA,hilo la umama naona kama nitalisacrificE nibaki hivi hivi...LOL
mwenzenu naona U MAMA ni wito kama vile ulivyo upadre LOL,'sio wote 'wanaitwa'! hehehe....kuna wanaowaza kama mimi au???????????????????????

Happy mothers day to all mamas here in JF,some of us understand how much you sacrifice for the sake of your kids...BIG UP TO YOU ALL....

Pauline its normal lazima uogope kidogo, ukijiingiza with all confidence waweza chemka....
 
kitu kitamu unakipenda na siku nyingine unaruka ukuta lakini hutaki kuzaa....... ukipenda boga penda na ua lake mama.
 
hapo nilipobold naona ndio penye tatizo.....wengi wanalichukulia ni jukumu la mwanamke zaidi,kweli fanya utafiti wa wababa wangapi hata wanajua kubadilisha mtoto pampers,uone utakavyoshangazwa?!
Wapo wengi tu!
 
ipo siku utatamani tu,pengine marafiki wako wote unaokutana nao club,kila mtu akiwa na mtoto wake na umri ukianza kusogea,inaweza ikakujia na wewe kupenda kuwa na mtoto wako.usiogope kulea.mtoto wako wa kwanza ukishajifungua unahisi raha isiyoelezeka.one of my best moment kwa upande wangu nilipojifungua mtoto wangu,ingawa uchungu wake siwezi kuusahau maisha. ni nusu kifo
 
....Nimeishi na dada yangu katika kipindi cha mwisho (last semmester) cha ujauzito mpaka alipojifungua mtoto wa kiume...mwenzenu sijui kwa nini,kumuona dada yangu anavyohangaika na mtoto limeniput off kabisaa mimi kuzaaa na kulea!.....jamani sio kazi rahisi especially siku za kwanza,nimeona hata usiku kila baada ya lisaa limoja mtoto alikuwa analia,inabidi ambembeleze ampe maziwa etc HULALI. .....pia kuwa na mtoto kumemzuia kwenda kusocialize kwenda club,parties etc....
...nauliza nyie wamama wa JF how do you balance being a mother,a wife ana may be full time worker........kwa sababu kila nikiangalia mwenzenu naona kama YATANISHINDA,hilo la umama naona kama nitalisacrificE nibaki hivi hivi...LOL
mwenzenu naona U MAMA ni wito kama vile ulivyo upadre LOL,'sio wote 'wanaitwa'! hehehe....kuna wanaowaza kama mimi au???????????????????????

Happy mothers day to all mamas here in JF,some of us understand how much you sacrifice for the sake of your kids...BIG UP TO YOU ALL....

i'm comin a litle bit personal...how old are you pauline? Na hiyo semester unayozungumzia ni zamani kodogo au, i mean are u stil at university? And if yes, ni mwaka wa ngap.? I can be of a good advice kama ukinijibu, please
 
Kama hayo ndio mawazo yako na mama yako kama bado yu hai, basi nenda kwake na umpe ahsante na shukrani kubwa kwa kukulea/kuwalea mpaka ukafikia umri wa kujitambua kuwa wewe ni nani.

Tambua kuwa tuna madeni makubwa sana dhidi ya Mama zetu na hayo madeni hayawezi kuisha mpaka pale wazazi wetu watakapo tangulia mbele za Mungu.
 
Natamani kuwa na vitoto. Nitakapoamua kufanya hivyo hata sitojiuliza mara 2 mbili.
 
Mwanamke jasiri haachi asili . . .

Wewe ni jasiri unaetaka kuacha asili yako
Umenitamanisha nikuoe
 
Kulea ni mtihani, na si suala la kubadilisha pampers hata mtoto akifika umri wa kuanza shule ndo kabisaa kazi inazidi.....ni wito na ni kwa msaada wa Mungu tu watu wanaweza kulea.....kwa jinsi ulivyojieleza Pauline,ni uoga wako tu,unaweza kuwa mama mzuri sana na hasa kama utakuwa na partner mzuri....kama huna tatizo lolote la kiafya,au sababu nyingine kubwa,nakushauri uondoe hofu....
 
Ni kawaida kabisa...ila huo ugumu unaouona ukilinganisha na raha utakayopata kumwangalia na kumpakata mwanao mikononi mwako the later wins.Ni vizuri umejua mapema kwamba hutaki /tamani kua na mtoto maana kuna ambao wanagundua baada ya kuzaa alafu wanaishia kutowajali watoto wao!Wengine wanaacha hata vichanga ndani wao wanaenda klabu!!Jua tu nini ni muhimu kwako kabla ya kufanya maamuzi...kama ni kwenda klabu bila kujipa mapumziko hata ya mwaka mmoja tu basi usizae....ila jua huko mbele wakati hata klabuni hakuendeki unaweza kuishia kutamani ungekua binti au kijana wako akwambie mama nakupenda umkose!!!!
Dearest nikisoma hii na zinazofatia ni kama unaongea from experiance na kila kukicha unadai we ni mdogo tusikwambie maneno mazito lol!
 
i'm comin a litle bit personal...how old are you pauline? Na hiyo semester unayozungumzia ni zamani kodogo au, i mean are u stil at university? And if yes, ni mwaka wa ngap.? I can be of a good advice kama ukinijibu, please
Semester inayoongelewa hapa ni ya ujauzito sio chuo hahaha!
 
Back
Top Bottom