Am I beggining to loose my integrity?

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,998
All my life nimekua very decent and sijawahi kucheat au kubadilisha couples kama nguo. Huko nyuma kuna rafiki mmoja wa kike nilimuangukia totally hadi hata pua ikagusa ardhi. For four years tulikuwa pamoja na nikadhani tutakuja oana kumbe mwenzangu alinichukulia as her best frend. Najua mtanishangaa but we did everythng except sx(i dont believe in sx b4 mariage) . After 4 years nkapigwa chini baada ya kutambulishwa kwa mchumbake. Aliharibu my confidence kabisa toka that year! mpaka leo hii hua naamini cpendeki! na nkaona as if ni magic mm kuwa na huyo mdada. I even spent 2years nikimbembeleza lakini wapi. Mpaka sasa huwa naamini hakuna mdada niliyewahi kumpenda kama huyo in my life.Mwishowe nikamove on. Juzi kanicall anataka tufanye mpango wa kuoana if ana nafasi tena. My every piece of self tells me to go to her ili nipone psychologicallly! But deep down I also hate her for what she did!
Please advice with awareness that I am morally tied down to my current fiance
 
Similar situation ilishawahi kunitokea lakini nika-move on na nilijifunza kwamba kwangu mimi muda ni tiba nzuri.....Kwanza alikuwa anajua kwamba wewe una nia nzuri toka mwanzo akakutosa........Unajua sometimes siku hizi kina-dada hawapendi mtu Conservative sana........Wanataka mtu wa kusumbuana naye kidogo...Mara umeomba sexy kesho amekukuta umesimama na Halima n.k.

Jiamini kwamba wewe ni kijana safi usie na kasoro na kwamba utapata mtu ambaye anakufaa..kuliko huyu ambaye utakuwa royal sana kwake kwa kuwa unampenda kupita kiasi...Kumbuka wewe ni kichwa cha nyumba.

Anajua kabisa unampenda ndiyo maana kaja na proposal.
 
All my life nimekua very decent and sijawahi kucheat au kubadilisha couples kama nguo. Huko nyuma kuna rafiki mmoja wa kike nilimuangukia totally hadi hata pua ikagusa ardhi. For four years tulikuwa pamoja na nikadhani tutakuja oana kumbe mwenzangu alinichukulia as her best frend. Najua mtanishangaa but we did everythng except sx(i dont believe in sx b4 mariage) . After 4 years nkapigwa chini baada ya kutambulishwa kwa mchumbake. Aliharibu my confidence kabisa toka that year! mpaka leo hii hua naamini cpendeki! na nkaona as if ni magic mm kuwa na huyo mdada. I even spent 2years nikimbembeleza lakini wapi. Mpaka sasa huwa naamini hakuna mdada niliyewahi kumpenda kama huyo in my life.Mwishowe nikamove on. Juzi kanicall anataka tufanye mpango wa kuoana if ana nafasi tena. My every piece of self tells me to go to her ili nipone psychologicallly! But deep down I also hate her for what she did!
Please advice with awareness that I am morally tied down to my current fiance

Have you? Really!?
 
Thanks Nitajaribu kukushauri
If you dont belive in SX before marriege plse make sure na huyo mwenzi wako anamawazo kama hayo
Lakini mimi yamenikuta, Huyo dada anatafuta ndoa lakini hakupendi angekuwa anakupenda asinge kuacha na kwenda kwa mwingine, It shows huko alikokwenda hakuna matumaini ya ndoa ndo maana karudi kwako,
Ukiwa na mahusiano na msichana hakikisha unaweka wazi misimamo yako, If you dont wanakuona mjinga hasa husipo onyesha dalili ya kutaka ********, siku hizi wasijana wajinga sana ukiwa na mausiano nae na usionyeshe dalili ya sex wanadhani hauko kamili, all in all Jesus is the answer
 
Unakumbuka nilishawahi kukuambia current mchumba wako huna mapenzi naye ya kweli. Leo umenihakikishia na umeniongezea confidence kwenye kuamini analysis zangu!
 
uyo dada ana ugonjwa wa kuataka kuolewa na ktk records zake anajua ww tiba upo tuuu..akishapona huo ugonjwa ww ndo utaanza kuumwa ugonjwa wa kuachwa kwa mara nyingine tena!
 
Unakumbuka nilishawahi kukuambia current mchumba wako huna mapenzi naye ya kweli. Leo umenihakikishia na umeniongezea confidence kwenye kuamini analysis zangu!
Kaunga Unazungumza na mimi?
 
Last edited by a moderator:
PetCash jamani pole sana! na men like u mpo wachache sana! am realy feeling sory for you, but at the same tym, huyo dada amerudi kwa ajili ya ndoa, nadhani huko alikokuwa kimebuma! but wangapi tulikosea na kujirudi?? kama moyo wako bado wampenda na uwe tayari kusamehe, pretend as if nothing hapened na U - MOVE ON!
 
Last edited by a moderator:
Unadhani anakupenda?? Unadhani ukimuoa ndio atatulia?? Mpende akupendae...
 
All my life nimekua very decent and sijawahi kucheat au kubadilisha couples kama nguo. Huko nyuma kuna rafiki mmoja wa kike nilimuangukia totally hadi hata pua ikagusa ardhi. For four years tulikuwa pamoja na nikadhani tutakuja oana kumbe mwenzangu alinichukulia as her best frend. Najua mtanishangaa but we did everythng except sx(i dont believe in sx b4 mariage) . After 4 years nkapigwa chini baada ya kutambulishwa kwa mchumbake. Aliharibu my confidence kabisa toka that year! mpaka leo hii hua naamini cpendeki! na nkaona as if ni magic mm kuwa na huyo mdada. I even spent 2years nikimbembeleza lakini wapi. Mpaka sasa huwa naamini hakuna mdada niliyewahi kumpenda kama huyo in my life.Mwishowe nikamove on. Juzi kanicall anataka tufanye mpango wa kuoana if ana nafasi tena. My every piece of self tells me to go to her ili nipone psychologicallly! But deep down I also hate her for what she did!
Please advice with awareness that I am morally tied down to my current fiance

Pole ndugu... ila jiulize na umuulize n i kwa nini aliondoka..? Naamini kwamba, kuishi na yeye ambae ameshakuambia na unajua wazi ni wa mwanaume mwenzako, UTAPATA TAABU SANA... Tambua uyo alie nae atakua anakuonea wivu na hatakubali kutukanwa na kuonekana zoba kwa kushea mwanamke ambae ameshapewa LEBO kwamba ni wa kwake.
Huyo mwanamke anavokuambia muoane kama kuna nafasi, wewe huoni kama ukifanya ivo ni sawa na KUJITUNDIKA mwenyewe kwa kuvaa cheni ya wasiwasi kwamba anatoka na huyu alienae kwa sasa?
Nafkiri ni busara ukamtafuta mwingine UMPE LEBO YAKO PEKE YAKO. Kumbuka andiko "KUNYWA MAJI YA KISIMA CHAKO MWENYEWE" Kwanini ujitese kumfuata au kumjali asiyeona juhudi zako..?

Mwombe Mungu utampata wako, ila kwanza MSAMEHE KWA ALIYOKUTENDEA alafu MSAHAU na yote aliyokufanyia. Jenga mawazo kama vile alifariki na hayupo tena kwa ajili yako....

Zingatia kwamba MUDA UNAENDA, umri wako unasogea. Acha kubabaishwa na kubabaika na sura. Mtazame MUNGU ...wapo WADADA wengi sana watulivuwanaotaka kuolewa, so kumpata 1 si kazi kama Ukimtegemea Mungu, ila kikubwa uangalie MNAFANANA VIPI KATIKA INTEREST ZENU. Na wanaume WAOAJI siku izi si wengi
 
Wanakamsemo kao kanasema, Bad Boys are no gud, Gud boys they re no fun.

Hujiulizi kwanini mabinti huwa hawapendi wanaume wapole na wanyenyekevu, ila huwapenda wale ngumi mkononi, machakramu, wasiojua kutulia ni nini, wenye maneno mengi kama madalali
 
Nazungumza na PetCash, ila nawe upo kwenye mkumbo huo nini?

u sound like my mother!
Kwakua una mapenzi mema nami ntakuomba ujenge scenario kwamba umepewa chance ya kupendwa when u thout huwezi kamwe kupendwa.
It gives u feelings of triumph kama chelsea walivyotwaa uefa
Kweli alinishusha nikawa mdogo kama tembe ya piriton
 
Back
Top Bottom