Am I a victim of her insecurities or Am i in captivity of negativity?

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,997
Juzi my fiancee kanifuata ofisini akaniaanza kunihubiria makosa yangu ya kuwa 'too close'
na one of my female frends(ambaye tulishakuwa na problem naye tena hapo nyuma), akanihukumu hukohuko
kwamba I am cheating.
Nikamuambia, nilidhani mtu anacheat anapo do nnje ya ndoa?
Akaniambia, hakuna, huko ni kuwa negative toward relationship! we kiri zambi zako nikusamehe
tuendelee na mambo mengineyo yaliyoko mbele yetu.
Basi mimi nikaungamishwa zambi zangu feki na kusamehewa(ili kuepusha shari nilifanya hivyo).
Lakini wakuu hebu nisaidieni mtu anaanza ku'cheat' akifanya nini?
 
ehh ukaungamishwa bila dhambi?
ohh 2bad....Y DONT U KUWAMBALI NA UYO MDADA WA OFCN?
 
Kuwa close na huyo coleague wako haitoshi kumfanya ahisi una cheat.
Jichunguze mkuu kwanini hana imani nawe.
captivity of negativity-umenikumbusha maneno ya thoedore bagwell almaarufu T-Bag
OTIS
 
PetCash, pole sana huyo dada ni insecure somewhow but kama ukaribu ukizidi unahatarisha any relationship sio ya huyo dada.
 
Last edited by a moderator:
Kuwa close na huyo coleague wako haitoshi kumfanya ahisi una cheat.
Jichunguze mkuu kwanini hana imani nawe.
captivity of negativity-umenikumbusha maneno ya thoedore bagwell almaarufu T-Bag
OTIS
Ndo hiyo hiyo copy n paste mkuu OTIS, huyu jamaa anajua kuigiza hasa, full zengwe..
 
Last edited by a moderator:
What i can just say ni kwamba urafiki na jinsia tofauti wakati una mpenzi/mke/mume lazima uwe na MIPAKA. Urafiki wa jinsia mbili tofauti ukishakosa mipaka anything can happen makusudi au kwa bahati mbaya..
 
Kwan ukivunja huo uclose na huyo mdada itakugarimu nn!acha mambo ya kitoto,kwann ackuseme na mwingine na iwe huyo!jenga iman kwa mchumba wako kwa kupunguza ukaribu huo na kuwa bize na mchumba wako.
 
What i can just say ni kwamba urafiki na jinsia tofauti wakati una mpenzi/mke/mume lazima uwe na MIPAKA. Urafiki wa jinsia mbili tofauti ukishakosa mipaka anything can happen makusudi au kwa bahati mbaya..

.....na hii ndio tafsiri sahihi ya cheating.
 
ha ha ha ha ha. PetCash, wonders shall never end.

Umeungama bila makosa? Nimeipenda kwa kweli hii aidia
Ngoja nitafute wa kumwungamisha fasta fasta.
 
Last edited by a moderator:
Mimi Platozoom naapa kwamba nimemkosea girlfriend wangu (kimoyomoyo "unanionea")....nimekosa kweli nimekosa kweli...naapa tena sitorudia kamwe..Eeh ulie na nguvu nisamehe.

Sasa na hata wewe uko huru "kumpitia" huyo binti ili kuhalalisha kosa na kiapo.Ulishawahi kutizama sinema ya Amita Bachan -Andhaa kanoon? Jamaa alishtakiwa kwa mauaji ya mtu (ambaye hakuwa ameuwawa) na akahukumiwa kifungo cha maisha. Alipotoka gerezani akamuona aliedaiwa kuuwawa na yeye.

Alichofanya ni kumkimbiza na panga na kumkata mpaka kifo!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom