Am back frm ban.niliwamc sana wana MMU.

Kwani senetor ulifanya kosa gani.hebu lirudie kwa slow motion na sie tuprove!
 
Cna mengi ya kusema leo ncje nkapgwa ban nyingne,ila niwaambie tu aman ya bwana iwe pamoja nanyi!
kumbe kuna kuwekwa kifungoni dahh,basi ngoja niache kuuliza kilichokusibu mpaka ukapata red card
 
Nafanya jitihada za kukata Rufaa ya wewe kurudishwa tena Jukwaani, kifungo ulichopewa ni kidogo tofauti na kosa ulilolifanya. Invisibo itaku-Pm Rufaa ya huyu Kijana inabidi arudi ndani BAN mliompa ni ndogo mkilinganisha na Kosa.
 
acha zako mzalendo,usiombe yakukute.
 
Umeombwa urudie kwa slow motion kilicho kufanya ule ban sa mbona unapotezea?
 
Back
Top Bottom