Am a vrgn Girl!!

Kama atakuwa huyu unistue
gat8qr818624-02.jpg

Ila kama ni huyu, tafazali uchune kama hatujuani vile..

attachment.php

Mulemule umelenga.
Haya nahtaji Mpokezi,Mkaguzi na Mpekuzi.
Kwa hyo Wanaume awakague nani?
Kagueni tu.
Fumu fumu!
 
Asante.
Ila mbona 'mzigo' ninao au hujauona?
Okey niletee Castle ya baridii na mguu wa mbuzi wa kuchoma.
Erickb52, Ulimakafu na Globu wataweza kunikagua kweli?
Maana me ni Vrgn naogopa.
Asprin naona kama ana usongo na mimi.
Nisiwe na usongo na wewe nichekwe? Haya hebu niambie ID yako ya zamani ni ipi na kwanini umeamua kunzisha ID mpya? Kuku mgeni hata kamba miguuni huna?

vtf17f490487-02.jpg
 
Hii itakuwa ID ya pili au zaidi maanq mbwembwe hizi za virgin ni kubwa sana kwa mgeni kabisa, hata hivyo karibu ukaguliwe na utepe ukatike.
Mkuu umeona eh? Stuka! Mwambie na mzee wa mapokezi Katavi astuke.... Huu mwandiko nshaustukia zamaaaani. Hata my wife material cacico akija hapa atawathibitishieni.

Nisiwe na usongo na wewe nichekwe? Haya hebu niambie ID yako ya zamani ni ipi na kwanini umeamua kunzisha ID mpya? Kuku mgeni hata kamba miguuni huna?

vtf17f490487-02.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hii itakuwa ID ya pili au zaidi maanq mbwembwe hizi za virgin ni kubwa sana kwa mgeni kabisa, hata hivyo karibu ukaguliwe na utepe ukatike.

Jamani Mzee wa Rula,
mbona sikuelewi umaanishacho?
Ina mana mgeni akija unataka awe mpole?
Wengine macho yetu makavu,
Tushautwika tangu lyamba njwii!
Tunatoa aibu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani kumbe kuna wakaguzi huku Jf?
Kule Fb hamnaga hayo makitu.
Haya ntamtafuta anikague.
Au unataka uanze wewe?

We mwana we! anakuja babu mmoja anaitwa Asprin,ndo proffesional wa hiyo makitu!
 
Nisiwe na usongo na wewe nichekwe? Haya hebu niambie ID yako ya zamani ni ipi na kwanini umeamua kunzisha ID mpya? Kuku mgeni hata kamba miguuni huna?

vtf17f490487-02.jpg

ID?
Ni member humu au?
Me ni New kama jamani,
mnanihukumu bure.
Babu Asprin we unakaguaga watu nasikia.
'kamba' ninazo tena za kumwaga,
miguu yote.
Mnanifananisha jamani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeona eh? Stuka! Mwambie na mzee wa mapokezi Katavi astuke.... Huu mwandiko nshaustukia zamaaaani. Hata my wife material cacico akija hapa atawathibitishieni.

Kha!!
cacico tena?
Mmeoana humuhumu tena?
Mzee wa Rula usishtuke jamani,mimi mgeni wa kila kitu.
Nimechangamka kwa maana nimekunywa togwa na chapati asubuhi.
Asprin anakutisha tu,anataka anikague peke yake eti.
Katavi njoo huku unipokee.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha Baba V huyu nlishamkagua kwenye ile ID nyingine.... STUKA Baba V....THINK!!! Ushamjua???

ID gani tena?
Me nimejiunga leo kwenye chama cha Jf,
nimetokea kulee Fb.
Au kwa sababu nimechangamka?
Togwa nililokunywa ndo limenifamya hv wajameni!
 
Last edited by a moderator:
lol, jf inamambo co kdg.
Kwa ukaribisho mlompa u vgrn ushaondoka.
Krb mgn, hii ndo jf kama unavyoiona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom