Alshabaab wazuia mikutano ya Injili

Mimi naombea hawa Alishababu waendelee hivihivi hadi 09/12/2011, ndipo wanasanaa hawa watakapokula jeuri yao!
 
Huyo baba amechelewa huu mji auongozwi na mapepo hata siku moja kunyima yesu asihubiriwe ni kujiaribia future yake zaidi watu watamwombea akafiee kigoma kabisa kama si katavi...
Udini unawaumiza sana sana ndugu zetu sijui wataacha lini na mbaya shule ndio inawaumiza we kama umesoma unaweza sema al shabab waingie leo hii kwenye mkutano wa injili kama sio wao kushambulia na kusingizia al shabab??kama kuvamia mikutano wangeanza kuvamia zile kelele za usiku wanaziitakje vile ...........
 
Amechelewa sana sana ajui watu walishaikabidhi huu mji kwa yesu ndio maana viongozi wenye mapepo hawatakaa huu mji namwambia na sadick kama atatumia majini na mapepo kujiimarisha uongozini ntakuwa wa kwanza kumfyeka kwenye ulimwengu wa roho na hata asijulikane anapoelekea wakristo tumepewa mamlaka jamani wakati wa kuyatumia ati wengi awajui umuhimu wao dat y??
 
Kuna gari la matangazo linapita mitaani -Dar es Salaam wakihamasisha watu wahudhurie sherehe za mwenge, mgeni rasmi atakuwa rais. Polisi wanasemaje kuhusu huu mkusanayiko? Al-Shaabab watawaacha watu salama?
 
Wanawaalika shauri zao na tulivyo vulnerable maana Polisi wetu wazuri kwa maandamano cause waandamanaji hawana silaha, ushawakuta kuna issue ya majambazi? hawaji mpaka waondoke
 
Back
Top Bottom