Alphonse Chilato? Ni nani?

Jituoriginal

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
350
31
Nimehudhuria Seminar Millenium Tower ya Forever Life,muendeshaji akiwa Mr Chilato anajisifia kuwa kauaga umasikini ,kwa kupitia forever life,anaponda kuajiriwa kuwa tutakufa masikini. Kwa upeo wangu nimesikiliza maelezo yake naona ni kama DEci vile kwani kujiunga na 600.000 ada ya uanachama. Kisha u natakiwa ulete watu zaidi ili upande daraja .
 
ipo dot com huu sio uchangiaji kama huna la kusema nyamaza, hatutaki huu mtindo wako hapa sio mahali pake kwani lazima uchangie kila unachokiona? kama humjui alphonce acha wanaomjua watuambia hata mimi natamani kufahamu taarifa zake
 
inawezekana mleta mada kakurupuka, ungechukua muda wako kusearch huyo AC na hiyo FLP na network marketing na fursa zake mada yako ingekuwa tofauti, hiyo laki 6 si ada kama unavyoita tafiti vyema utapata jawabu, dunian hakuna mwajiri atakufanya uwe tajiri bali juhudi zako zaweza kukutajirisha, ukitaka kujua uondo wa ngoma...
 
kumbe nitakufa masikini eeh!!!!!!!

haya nipeni mbinu mbadala wajameni za kujikwamua kiuchumilol!!
 
Mimi namfahamu Chilato miaka mingi, alikuwa TRA akaacha akaingia kwenye Network Marketing ya Forever Living. Amepiga hatua sana na hawa FL na katengeneza peasa kwelikweli. Ukitaka kujua alichopata cha ziada na TShs za system hiyo hapa bongo, FL walimlipa gawio in USD 147,439.38 (2009) na USD 163,130.00 (2010). Hizo laki 600,000 ni za kwako wewe kuanzishia faida na bonasi ya kueleweka na siyo desi kama unavyofikiria. Hudhuria workshop za Ijumaa pale Holiday Inn ufunguke macho, huna haja ya kuacha kazi yako wakati unafanya network marketing! unaacha wakati ukishaona kipato chako kwa mwezi ni zaidi hata ya mshahara wako kaziki mara 5, 6 au zaidi!!
 
Kaangalie link ifuatayo: FINANCIAL FREEDOM
 
Nimehudhuria Seminar Millenium Tower ya Forever Life,muendeshaji akiwa Mr Chilato anajisifia kuwa kauaga umasikini ,kwa kupitia forever life,anaponda kuajiriwa kuwa tutakufa masikini. Kwa upeo wangu nimesikiliza maelezo yake naona ni kama DEci vile kwani kujiunga na 600.000 ada ya uanachama. Kisha u natakiwa ulete watu zaidi ili upande daraja .

Nathani ndugu, ni vizuri ukatoa hoja yenye tafiti, na sisi tusikie tumesaidika, kuliko kutoa maelezo ambayo hayajitoshelezi, ok vizuri uliposema kwa upeo wako umeona ni kama DECI, umekuwa muwazi kwamba hukuelewa, sasa kama forever ni deci mbona serikali haijaifunga mpaka leo? unafaham FLP imeanza mwaka 1978. Je ulinyanyua kidole kuuliza hilo swali lako wakati upo hapo millenium tower kwenye meeting?
 
Mfumo huu ni pyramid. Tatizo ni pale watu wenye appetite hiyo watakapoisha. Wale wa mwisho chini watafanyaje kurudisha pesa zao?
 
Nimehudhuria Seminar Millenium Tower ya Forever Life,muendeshaji akiwa Mr Chilato anajisifia kuwa kauaga umasikini ,kwa kupitia forever life,anaponda kuajiriwa kuwa tutakufa masikini. Kwa upeo wangu nimesikiliza maelezo yake naona ni kama DEci vile kwani kujiunga na 600.000 ada ya uanachama. Kisha u natakiwa ulete watu zaidi ili upande daraja .
Kimbia mapema, hawa matapeli wanakuja na mbinu zingine mpya za kuibia mazwazwa. Sepa mkuu.
 
Humu ndani Alfonce Chilato ana IDs nyingi na anachangia kwenye huu uzi kwa IDs zake zote ili akupige pesa.....uwe makini sana ...ana jisupport yeye mwenyewe kwa IDs zake
 
Back
Top Bottom