Alpha aandika barua nzito kuishutumu TPF na EABL kwa kuwatelekeza washindi waliopita

Yeah ni jambo la kushangaza kama hata wao (EABL) wanashindwa kuendelea kuwaweka juu washindi. Alichosema Alpha ni kweli kabisa.
 
Naona malalamiko yake ni ya msingi, alichoandika ni dhahiri na amekithibitisha kwa mifano hai, sio majungu wala nini. Ndo tabu ya kufanya kazi na bepari, washapata wanachokitaka wamelala mbele.
Hongera Alpha kwa kutoa yalo moyoni kwa faida ya washiriki wengine...
 
Hao wasanii wajue walishavuta chao. wamejulikana karibu Afrika yote. Wajifunze kusimama wenyewe na wajue kuwa hao bia kazi yao iliishia pale ukumbini. Labda wa kuwabana ni hao tpf
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom