almost a month in 1 bed doing nothing,what should i do?!

winy

Member
Apr 10, 2012
35
8
Mamboz jf...jaman naitajikusikia mawazo yenu,I have a lover na kikweli nampenda saaana.mwanzo tulikua tunaenda sambamba kihisia za mapenzi napo jihisi natamani yeye pia alionekana kutaka na tukipeana likizo ni only a week,sasa mwenzangu kabadilika anakaa ata mwezi tunalala 1bed lakini doing nothing all month,fanya kama wewe ni mimi ungemfikiliaje na ungefanya nini
 
kwenda sambamba maana yake nyie ni parallel line, ambazo huwa hazikutani.

Anyway, wewe ni Ke au Me.

Sema naye, usisubiri hisani wa watu wa marekani.
 
kwenda sambamba maana yake nyie ni parallel line, ambazo huwa hazikutani.

Anyway, wewe ni Ke au Me.

Sema naye, usisubiri hisani wa watu wa marekani.

hivi Konny.....ukubwa wa Timbuktu ni km ngapi za mraba tena....nimesahau....
 
take the initiative... jump-start him; mchokoze, usisubiri kila siku alianzishe yeye...
 
Huyu ashakuwa camerun, hehehehehe. Ukiona mwanaume wako anapoteza hisia za mapenzi na wewe bila sababu ya msingi ujue tayari anatoa tg thus why anapoteza hisia na wewe kwan anavutiwa na madume wenzake. Ukuli ukatae ila fanyia kaz kwan dunia imekwisha
 
Ongea naye usikurupuk kwenye maamuzi,labda kuna kitu unamkera ndio maana anakuwa hivyo,badilisheni pia mazingira ili kuchangamsha penzi lenu
 
Zungumza nae vunja ukimya!kama huwezi kuongea then fanya vitendo vitakavyompelekea yeye kuelewa unachokitaka..
 
duh nawe jaman inamaana umeshindwa kuanzisha mchezo mpaka uwe unachezeshwa wewe kwanza??? hisia ziko kwa wote na si kwa mmoja na wengi hupenda kuanzwa na si kuanza , naamin ukimwanza utapata .. pia naona bado kuna tatizo ni nini hadi kipelekee kucheza mechi moja kwa week?? kama mechi moja kwa week inapelekea au inatoa nafasi ya mechi za mchangani au ugenini kwa vile mmetengeza mazingira ya kukosa mvuto kimchezo
 
kitandani una vaa night dress?vua uwe kama ulivyozaliwa tumia udi,perfume,cheni ya kiuno akukute kitandani umemtengea
 
mpige kidole,labda atapata nguvu ghafla,du,hii sio kawaida kabisaaa,wadada ndo wanaletaga pozi,lakini huyu wako itakuwa wamem-cameron au anapiga sana puchu au mwanzoni alitumia sana viagra......jaribu kumpiga kidole
 
kitandani una vaa night dress?vua uwe kama ulivyozaliwa tumia udi,perfume,cheni ya kiuno akukute kitandani umemtengea

anaevaa night dress hajui sheria za ndoa ??? maana ukiolewa shurti ulale uchi hahahaha
 
Thanx guy, nitajitaidi kufanya kila ushauri wenu but I never sleep with night dress,hata umshike wap haamki...anadai mazoezi lakini siku zote alikua anafanya mazoezi na haki yangu napewa
 
Mamboz jf...jaman naitajikusikia mawazo yenu,I have a lover na kikweli nampenda saaana.mwanzo tulikua tunaenda sambamba kihisia za mapenzi napo jihisi natamani yeye pia alionekana kutaka na tukipeana likizo ni only a week,sasa mwenzangu kabadilika anakaa ata mwezi tunalala 1bed lakini doing nothing all month,fanya kama wewe ni mimi ungemfikiliaje na ungefanya nini
Kwani wewe ni KE/ME kama ni KE jaribu kuzungumza nae mkiwa chumbani huku ukifanya yale mautundu yenu ya mara umebana pua mara unjifanya kanga imeanguka bahati mbaya then uone kama jamaa hatuingia line.
Nilichogundua wanaume tuliyo wengi ni wadhaifu sana tukiwekwa kati na mwanamke.
 
Thanx guy, nitajitaidi kufanya kila ushauri wenu but I never sleep with night dress,hata umshike wap haamki...anadai mazoezi lakini siku zote alikua anafanya mazoezi na haki yangu napewa

  1. ma muda gani nae kwenye mahusiano???
  2. nani huwa anaanza kumhitaji mwenzake??
  3. ulishajaribu kuongea nae??
 
Back
Top Bottom