Almas Halamu yaruhusiwa ktk soko la kimataifa

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Haya sasa Babu mzee Mugabe hatimaye machimbo yake ya almasi sasa yaruhusiwa kuuza almasi yake ktk masoko ya kimataifa,baada ya kufungiwa kwa mda kutokana na wanaharakati kudai kuwa almasi hiyo huuzwa kwa magendo na inatokana na mauwaji

sasa ni mwendo mdundo babu mugabe atauza almasi yake bila vikwazo
 
hONGERA Zimbabwe, kama wana amount ya kutosha watapunguza kwa kasi sana mfumuko wa bei na kuondokana na kubeba noti ya 100,000,000/=
 
Ulitegemea ni nini.................hizi ndio chenga za wakoloni mambo leo....................wapi Tsivangirai!
 
Back
Top Bottom