Almaarufu Netchi Lyimo

Lengeri

Senior Member
Jul 3, 2009
180
15
Ripota Netchi Lyimo mjukuu wa Mchungaji jamaa alikuwa mbali sana kwenye fani yake sijui nini kimemrudisha nyuma hivi.

Namwona hapa Moshi aka mji wa wagumu anavyopigika na maisha.
 
ina maana siku hizi siyo mwandishi wa habari tena? anapigikaje wakati mke wake anafanya kazi Sauti ya Injili
 
Kwa kipaji alichonacho na uzoefu wake alistahili kuendelea kuwepo katika international level na si kukaa pale Bamboo bar akiokoteza vihabari uchwara vya Mambo Mseto.....
 
moshi si mji wa kukufanya uwe na strategic planning...kitimoto, kibia na nyama choma siku imekwenda! vikao vyao watu wale wale tu mambo ya maniyuuuu na asenoooo. mji hauna changamoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom