Ally kiba apata ajali

ELIHURUMA

Member
Aug 28, 2010
28
1
Kijana kapata ajali maeneo ya mikumi morogoro, alipokuwa anatoka mbeya,kwenye shoo!forsure cjajua kaumia kiasi gan!ila ma info 2takuwa 2napeana humu,MUNGU AMPE NGUVU.
 
umesomeka! sababu ya ajali tujuzwe mapema tafadhali.
 
Mpenzi umenirusha usingizi hapa nilipo mkono upo kunako nanihii ni lini utarudi back to the topic pole ali kiba mzee wa cinderella
halafu weye mpenzi jini weye..unashikaje nanihii wakati mie niko,au lile shuzi unaniogopa sijambi tena lilitoka kwa bahati mbaya tu
 
halafu weye mpenzi jini weye..unashikaje nanihii wakati mie niko,au lile shuzi unaniogopa sijambi tena lilitoka kwa bahati mbaya tu
Naogopa yasije yakanikuta yaliyomkuta yule jamaa yetu kwa mwanamke wa kimanyema.
 
Pole jembe la ukweli, ila Mikumi jamani, Mikumi mara 5 ajali sasa AK naye Mikumi, kunani paleeeeee?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom