allergic to sulphur?

Mom

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
708
29
Naombeni msaada wenu, hivi majuzi nimetumia dawa ya malaria aina ya Malafin.

Ndio dawa niliyozoea kutumia, baada tu ya kumeza ile dawa kama dk3 au 5 hivi nikaanza kuhisi kuwashwa mdomo na ukavimba sana kwa kuwa ilikua usiku niliamua kumuuliza rafiki yangu doctor kwa simu akaniambia huenda una allergy ya sulphur basi kunywa maji mengi sumu itapungua mwilini.

Nilifuata ushauri ila jana nimeamka nina vidonda mdomoni hata kula shida na mpaka sasa sithubutu kuweka kitu huku mdomoni.

kwa yeyote aliewahi kukutana na tatizo kama hili naomba ushauri alitumia dawa gani kuponyesha vidonda hivi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom