All these words mean sex?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
karibu kila neno tunalotumia siku hizi
linamaanisha pia sex
wakati mwingine huwa najiuliza kwa nini??????
au labda jamii inawaza sana sex??????

kula.........analiwa,anamla
kupita.......amempitia,amepitiwa
kulamba......amelambwa,anawalamba
kukanyaga.....anamkanyaga,
kutafuna...........anamtafuna
kutembea...........anatembea nae
kupakua...............anampakua,anapakuliwa
kutia.....................anamtia...
kubonyeza..........anambonyeza
kukandamiza...........anakandamizwa
kuonja.................amemuonja
kubandua.............anambandua
kukuna.............anamkuna
kuchezea..............anamchezea
kuchapa..............anamchapa
kucharazwa..........anamcharaza
kwangua...............anamkwangua
kusugua...............anamsugua
kugonga...............anamgonga


swali langu hapa je hii ni normal kwa kila neno la kawaida
kuhusishwa na sex au ni sisi wanajamii ndio tumesababisha,
pili je ni maneno yapi sio ok kuyatumia?i mean hayapo decent?
nimewahi kuwasikia wanawake wenye heshima zao
wakitumia neno kupakuwa na kupakuliwa nikabaki mdomo wazi.
 
mnaweza kuorodhesha maneno yenu ambayo mnayatumia......na ambayo hamyatumii
but yanatumika,,,,,
 
mhhh ....wandugu chochote ukisemacho hugeuka tusi,why? where is kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha?
mara ...oh yule demu anakamuliwa na mshua,where are we going.
pscycologists says that:-
75% of the day people use to think abou LOVE(SEX)
15%.................................................JOBS
10%.................................................THE REST
kwa hiyo si ajabu..........kuona kila neno zuri linatafsiliwa kingonongono.
 
karibu kila neno tunalotumia siku hizi
linamaanisha pia sex
wakati mwingine huwa najiuliza kwa nini??????
au labda jamii inawaza sana sex??????

kula.........analiwa,anamla
kupita.......amempitia,amepitiwa
kulamba......amelambwa,anawalamba
kukanyaga.....anamkanyaga,
kutafuna...........anamtafuna
kutembea...........anatembea nae
kupakua...............anampakua,anapakuliwa
kutia.....................anamtia...
kubonyeza..........anambonyeza
kukandamiza...........anakandamizwa
kuonja.................amemuonja
kubandua.............anambandua
kukuna.............anamkuna
kuchezea..............anamchezea
kuchapa..............anamchapa
kucharazwa..........anamcharaza
kwangua...............anamkwangua
kusugua...............anamsugua
kugonga...............anamgonga


swali langu hapa je hii ni normal kwa kila neno la kawaida
kuhusishwa na sex au ni sisi wanajamii ndio tumesababisha,
pili je ni maneno yapi sio ok kuyatumia?i mean hayapo decent?
nimewahi kuwasikia wanawake wenye heshima zao
wakitumia neno kupakuwa na kupakuliwa nikabaki mdomo wazi.


Good Observation!
You are almost touching the truth of the matter!
 
Last edited:
Si nzuri sana kila neno la Kiswahili kuwa na maana ya sex au tusi,
ila hii imeshakuwa ni ujinga fulani kwenye akili za watu wengi kuwa hata mtu anapotamka neno la kawaida kwenye mazingira ya kawaida watu fulani wanacheka kwa maana ya kwamba ameongea au ametamka tusi. Mimi nafikiri ifike sehemu tuheshimu lugha yetu na kuipenda kwa dhati kwa kukemea pale inapoonekana kuharibiwa
 
Anapakatwa
Anachapwa
Anakazwa
Anapekunyeliwa
Analizwa
Anatafunwa
Anapekechwa
anabomolewa
Anakung'utwa
anafunuliwa
 
karibu kila neno tunalotumia siku hizi
linamaanisha pia sex
wakati mwingine huwa najiuliza kwa nini??????
au labda jamii inawaza sana sex??????

kula.........analiwa,anamla
kupita.......amempitia,amepitiwa
kulamba......amelambwa,anawalamba
kukanyaga.....anamkanyaga,
kutafuna...........anamtafuna
kutembea...........anatembea nae
kupakua...............anampakua,anapakuliwa
kutia.....................anamtia...
kubonyeza..........anambonyeza
kukandamiza...........anakandamizwa
kuonja.................amemuonja
kubandua.............anambandua
kukuna.............anamkuna
kuchezea..............anamchezea
kuchapa..............anamchapa
kucharazwa..........anamcharaza
kwangua...............anamkwangua
kusugua...............anamsugua
kugonga...............anamgonga


swali langu hapa je hii ni normal kwa kila neno la kawaida
kuhusishwa na sex au ni sisi wanajamii ndio tumesababisha,
pili je ni maneno yapi sio ok kuyatumia?i mean hayapo decent?
nimewahi kuwasikia wanawake wenye heshima zao
wakitumia neno kupakuwa na kupakuliwa nikabaki mdomo wazi.



kumega, kumegewa kummega nayo yapo na mengine mengi ila je ni sifa au ukosefu wa busara? Wadau mi naona hakuna mantiki ni kuaribu lugha yetu tu inayokuwa kwa kasi sasa hivi.
 
Wadau mambo mawili duniani huwa yanazungumzwa kwa maneno meeeengi wakati maana ni hiyo hiyo na hii ni kwa lugha zote duniani,vitu hivyo ni KIFO na NGONO.Wadau kila mtu a check hili katika lugha yake ya asili achilia mbali Kiswahili.Mfano kwa kiswahili KIFO tunasema katutoka,hatuko naye tena,ametangulia mbele ya haki,amefariki,karudi kwa muumba etc.Ngono nayo hali kadhalika mfano kwa kihaya okusindika,okuchuma,okushabula,okutela,okuharura,okulya,okukuntura etc na hata kwa Kiingereza utasikia https://jamii.app/JFUserGuide,bang,hit,screw,give it to her,sleep with her,n.k Kwa maoni yangu naona ngono na kifo ni mambo mawili yako deeply ingrained katika pysche ya mwanadamu.
 
Sishangai kwani hata Raisi JK akiwa Bungeni alisema "kula uliwe" kwa maana ukitaka kupata kitu lazima utowe kitu, watu wazima na akili zao na Busara zao wakacheka kwa staili ya kumaanisha SEX yaani TUSI
 
Back
Top Bottom