All The Women In UR Life - Jamani Hamchoki nyie??

Wengi sana wana opt kulipiza kisasi kwa kumegwa nje, kwanza anaweza kwenda kwa nduguyo ama rafikiyo ama driver wako ama garden boy ama shamba boy, anything.....they just become confused when they go wild!!!!!

Naam huwa wanasawazisha goli na mchezo huwa sare...baada ya kusema sana bila mafanikio yoyote.
 
Dada Vera, it takes two to TANGO; inakuwaje shutuma ziwe kwa mtongozaji tu na mtongozwaji asilaumiwe pia!! Wanaume hujaribiwa sana kwa hao wahusika kuvaa vimini huku wakionesha mapaja na makalio yao na hapo ndipo zip huanza kucheza!!

true that!
 
Mkuu pongezi umejituma sana kwenye hii post hongera, mchango wako noted!

Yeah kwakweli mkuu kajitahidi sana kuelimisha jamii lakini swali je utakubali ule maharagwe kila siku? Kisamvu hakuna? Nyanya chungu je?
 
Yeah kwakweli mkuu kajitahidi sana kuelimisha jamii lakini swali je utakubali ule maharagwe kila siku? Kisamvu hakuna? Nyanya chungu je?

Ha ha ha ha, hali ya ugonjwa ni mbaya inabidi tuwe wadogo kidogo.
 
Yeah kwakweli mkuu kajitahidi sana kuelimisha jamii lakini swali je utakubali ule maharagwe kila siku? Kisamvu hakuna? Nyanya chungu je?

Utajiju Mkuu! ;) ..Kama huoni noma kufanya hivyo basi hakuna ubaya wowote.
 
Kindly share the maximum prohited degree I could go...is it 15, 30, 35 90 etc. ingawa staha ni kitu cha lazima sana maana haya mambo ya siku hizi haya ya kutembea mpaka na watoto wa kuwazaa wenyewe yananipa kizunguzungu kulikoni

It doesnt go like that Mkuu
You are supposed to refrain/restrain/desist from tangoing with anyone u r related with by blood, those who are under your care/your roof....kwa wepesi....na zipo sababu zake.Unapaswa pia kujali kutunza heshima yako - huwezi kuanza mahusiano na msaidizi wako wa nyumbani au mhudumu anayekuhudumia au mtu uliye na wajibu kumwadabisha kwa namna yoyote iwe kazini au nyumbani - no wonder rushwa ya ngono sasa ni moja ya agenda ya PCCB.
 
Ila kweli kuna baadhi ya wanaume wamezidi, yeye kila mwanamke anayemuona mbele yake lazima atongoze. Haijalishi kama mwanafunzi, house girl au secretary wake. Mbaya zaidi kwa wale waliooa,sijui ndio hawaridhiki na wake zao au kuwa MBU/MBA.

...astaghafirullah, astaghafirullah, astaghafirullah...
yamekuwa hayo tena? :(

ama wanyonge hatuna haki!
 
Vera naamini staha iko kotekote... Ukiacha vibinti vya bar, na videnti(aka sidanganyki) hao wengine wote naona kama wanaelewa wazi aina ya mwanaume wanaejihusisha nae!

Ni kwa nini na nyie pia mnakubali kubali tu hata kama mtu ni MBA??? Si umtose ili ajue hana lake..!!!

Thanks DMussa, ni vyema umerudisha hii point!!
 
Yeah kwakweli mkuu kajitahidi sana kuelimisha jamii lakini swali je utakubali ule maharagwe kila siku? Kisamvu hakuna? Nyanya chungu je?

Mkuu, hata kama unakula kisamvu japo maa moja kwa mwaka.... unatakiwe ule kiaina hata VC na wenzake wasiiweke kwenye agenda!! tatizo we are so open these days na dhambi zetu ndio maana wanatubebea mabango kama ya A1 outdoor
 
Ila kweli kuna baadhi ya wanaume wamezidi, yeye kila mwanamke anayemuona mbele yake lazima atongoze. Haijalishi kama mwanafunzi, house girl au secretary wake. Mbaya zaidi kwa wale waliooa,sijui ndio hawaridhiki na wake zao au kuwa MBU/MBA.

Kuna mtu amesema kule nyuma kwamba it takes two to tango!!! Ndugu yangu pretty, acha hilo.... kuna mimama nayo imezidi kusarandia serengeti boys, na hao tunawaweka wapi?? maana naona hakuna haja ya new thread, tuwatandikie humuhumu
 
Back
Top Bottom