All The Women In UR Life - Jamani Hamchoki nyie??

Hapa tunajadili general issues bana..haimaanishi tunaweka mambo yetu binafsi....
Having said that - nadhani unavyosema huenda kuna ukweli..na nadhani kwa kujadili wazi hapa itasaidia wale wote wenye matatizo haya na kujaribu kurekebisha.Au siyo MTM?

Actually i was also talking about general issues, sikumlenga anyone specific!! yaani performance za mama na za baba zooote zimeyumba kwa sasa sijui ni pressure za maisha au too much information kiasi kwamba inaua ile hamu na hanjam ya mwenzako, there is too much information about relationships siku hizi hasa zinazohusu sexual matter

Unajua hata haya ya wanaume kuhangaika kama ume-note yamesababisha akina dada nao kwa kiasi fulani kuchanja mbuga and they use maneno kama muosha huoshwa, kula uliwe, mla cha mwenziwe lazma na chake kiliwe!!

Kwa kusaidia akina baba, nashauri akina mama mtukatalie kabisa japo kwa mwezi mmoja tuone itakuwaje
 
Polygamy is natural to all men, na ni wachache sana wanao`manage control akili na mitima yao!Lakini shida kuu ni kwamba siku hizi myie wanawake mmegundua kuandaa mazingira ambayo, hata mtu asipokutaka analazimika kukupiga saundi, na unadondoka nae bila hata kuongea neno moja. lol!

Huo ndio ukweli japo sio wote wanaenda kila upande kama Vera anavyodai
 
Actually i was also talking about general issues, sikumlenga anyone specific!! yaani performance za mama na za baba zooote zimeyumba kwa sasa sijui ni pressure za maisha au too much information kiasi kwamba inaua ile hamu na hanjam ya mwenzako, there is too much information about relationships siku hizi hasa zinazohusu sexual matter

Unajua hata haya ya wanaume kuhangaika kama ume-note yamesababisha akina dada nao kwa kiasi fulani kuchanja mbuga and they use maneno kama muosha huoshwa, kula uliwe, mla cha mwenziwe lazma na chake kiliwe!!

Kwa kusaidia akina baba, nashauri akina mama mtukatalie kabisa japo kwa mwezi mmoja tuone itakuwaje

Too much info kweli imeharibu sana mahusiano maana before - back in the days watu walikuwa hawajui mengi..sasa hivi kuna mitandao na njia nyingine za mawasilino ambazo matumizi yake wakati mwingine hutuangamiza badala ya kusaidia...

Haitawezekana wanawake kuwakatalia hata kwa wiki...umesahau the sex-boycot ya Kenya na kilichotokea? This will never work maana kuna different interests katika social groups hata miongoni mwa wanawake wenyewe - watakuambia - UKISUSA WEYE WENZIO WALA!
 
Try another test. Just for comparison.

...lol, wewe mjamaa lazima ni TAURUS (The Bull - Born April 21 to May 21 -Persistent and determined....) kwa jinsi ulivyomshikia bango 1stLady jana, na leo unamuweka mtu kati VeraCity,...:D
 
Actually i was also talking about general issues, sikumlenga anyone specific!! yaani performance za mama na za baba zooote zimeyumba kwa sasa sijui ni pressure za maisha au too much information kiasi kwamba inaua ile hamu na hanjam ya mwenzako, there is too much information about relationships siku hizi hasa zinazohusu sexual matter

Unajua hata haya ya wanaume kuhangaika kama ume-note yamesababisha akina dada nao kwa kiasi fulani kuchanja mbuga and they use maneno kama muosha huoshwa, kula uliwe, mla cha mwenziwe lazma na chake kiliwe!!

Kwa kusaidia akina baba, nashauri akina mama mtukatalie kabisa japo kwa mwezi mmoja tuone itakuwaje

...Mjomba mwezi mzima tena? Mbona sababu itakuwa imepatikana (ya kuhamia huko huko)! :D
 
Wote ni hatari, mwanamke atoaye na mwanaume apokeaye. Chafanywa na wawili ati. Ukikifany for fun kitakaa mkao huo. After all vinaisha? Ogopa mdudu sio wanawake au wanaume. Hivi nani anapata hasara zaidi kati ya wanawake na wanaume katika shughuli hizo?

Leka
 
Ndio maana kuna prohibited degrees of relationships - suala siyo kumegwa/kumega hapa.Ishu ni kuwa na staha basi hata kama moyo umetamani baada ya macho kuona!
Kindly share the maximum prohited degree I could go...is it 15, 30, 35 90 etc. ingawa staha ni kitu cha lazima sana maana haya mambo ya siku hizi haya ya kutembea mpaka na watoto wa kuwazaa wenyewe yananipa kizunguzungu kulikoni
 
...haya,...

Ufumbuzi unaweza patikana kwa kina baba hao. Siku hizi kuna Cialis, achana na Viagra... kimbembe hao kina mama walalamishi wakigundua 'mzee' ana mzuka mpya wa mchakamchaka, ataeleweka au ndio nyimbo mpya itakuwa, ..."hutosheki mwanaume wewe!"

Sasa mze mosquito huoni kwamba hizo cialis na viagra ndio zitachoche wakina baba kuvamia house girls, baamedi, mashemeji, wakwe, office mates na wale wa kitaa???

Mimi nadhani watz tujaribu culture ya mazoezi jioni kwani ni yale masaa manne ya jioni ndio hutumika kwenye mikasi au sio??
 
Kwa kusaidia akina baba, nashauri akina mama mtukatalie kabisa japo kwa mwezi mmoja tuone itakuwaje

Wazee, hapa nilikuwa namaanisha hao wa nje, yaani bamedi, vibwengo, vicheche, housegirls, wakwe, mashemeji n.k. ndio watukatalie wanaume na sio wake zetu ehhh!!!

Samahani kwa kutokueleweka
 
Haitawezekana wanawake kuwakatalia hata kwa wiki...umesahau the sex-boycot ya Kenya na kilichotokea? This will never work maana kuna different interests katika social groups hata miongoni mwa wanawake wenyewe - watakuambia - UKISUSA WEYE WENZIO WALA!

Samahani VC, i meant hao wa nje tunaowachezea watunyime japo kwa mwezi mmoja

duh, nimechapia mno, naona mabunduki yananishukia
 
...Mjomba mwezi mzima tena? Mbona sababu itakuwa imepatikana (ya kuhamia huko huko)! :D

Nilichapia kaka, duh naona nimewasha moto wa petroli, nimegusa pabaya kweli leo:D:confused::rolleyes::D;):mad::D:eek::cool:
 
Dada Vera, it takes two to TANGO; inakuwaje shutuma ziwe kwa mtongozaji tu na mtongozwaji asilaumiwe pia!! Wanaume hujaribiwa sana kwa hao wahusika kuvaa vimini huku wakionesha mapaja na makalio yao na hapo ndipo zip huanza kucheza!!
 
Usijali ndugu yangu..... ungesoma posts zote ungeona nilikuwa namaanisha nini Mkuu!
 
Wazee, hapa nilikuwa namaanisha hao wa nje, yaani bamedi, vibwengo, vicheche, housegirls, wakwe, mashemeji n.k. ndio watukatalie wanaume na sio wake zetu ehhh!!!

Samahani kwa kutokueleweka
Wakususie mfadhili? Its not for nothing aisee!
 
mnajua kuna lawama nyingine most of woman wananzitoa kwa wanaume bila kuangalia upande wa pili.mojawapo ndo kama hii iliyoletwa na huu mdau kwa kweli sioni haja ya kuwalaumu hawa wakaka kwa kuwa wanaaoandaa mazingira yote ni wananwake na si wanaume.

Kama mwanamke akijiheshimu hawezi kuwa hivyo kutongozwa kwa mwanamke ni haki yake ila kukubali na na kumegwa jambo jingine ambalo halina mahusiano na hayo aliyoyaleta mtoa maada.Mkaka anenda bar ankunywa bia anamwita barmed anamaproach sasa kama baarmed akikubali nani wakulaumiwa?
Mke wa rafiki yake anatongozwa yule mke anakubali nani wakulaumiwa?
Binamu anatongozwa anakubali hapo nani wa kulaumiwa?
Wewe Veracity unatongozwa na libaba unakubali na wakukulaumu?
.

C,

We kichwa ndugu yangu. Kuna shida gani ukitongozwa ukikataa!!! Kweli hapo nakubaliana na wewe; usipoitwa, unajiuliza why not me!!! Rafiki ya mumeo, just on your own good and interest akijitosa tu... unaye!!! Hee!!!

Tatizo ni nyie wenyewe Veracity na si wanaume!!! Au kuna mtu kakutibua, mbaya zaidi mwandani wako! Weka wazi!!!
 
Mh, ufadhili tena!!?? naona unaongeza indicators tu!!! we haya we, ngoja nipate lager mbili halafu nikujibu
Si unajua tena cross-cutting issue inavyokuwa? - lina mengi humo ndani yake.Ukigusa hiki, kinazalika kile...mradi uchanganyikiwe.
 
Hivi VeraCity wewe ni dada? Dah umenichanganya sana.
Juu ya mada hii inatokana na kukinai au kukifu kwa kitu ndo maaana huwezi ukala mchicha kila siku.
 
Back
Top Bottom