All The Women In UR Life - Jamani Hamchoki nyie??

Hi Vera

Usishangae maadili yamemomonyoka kabisa,ndio mambo watu wa kisasa wanaita uzungu uzungu,

Kuwa mwamini na jitahidi kuutukuza utanzania na sio uzunguni

Haya ni madhara ya utandawazi hadi kwenye kuwaza kwetu

E.Y
 
Nashukuru sana kwa mchango wako ndugu yangu
Uzunguzungu kweli - pole pole tunaanza kuona kila ovu kuwa ni jema au la kawaida.Miaka ya nyuma watu wangeshangaa sana kusikia incest, swinging na tabia nyingine zilizo za kawaida kwa wenzetu wazungu.Lakini sasa hilo halipo tena.

Pazia limeshafunuliwa na kila kitu kinaangaliwa na kupasishwa kuwa ni sawa.Miaka ya nyuma ingekuwa siyo rahisi kwa watu kujiweka waziwazi na mambo yao -

Siyo kuwa extra-marital affairs hazikuwepo.Zilikuwepo lakini siyo kwa mtindo wa uhayawani kama sasa.Watu waliogopa kuwachukua watoto wao, na watu wa karibu mno.Anyway tuendelee kujadili.
 
Tujiulize nani anashawishika upesi?
Mwanaume akiwa kama 'KAMA ALIVYOZALIWA' akamuendea mwanamke,huyo mwanamke atashawishika? au Mwanaumke akiwa 'KAMA ALIVYOZALIWA' akamuendea mwanaume,huyo mwanaume atashawishika?

Sasa twende mitaani,wadada vinguo wanavyovaa vyenye kutia vishawishi vitawafanya wanaume wasishawishike? Je,ni asilimia ipi kubwa kati ya wanaume wanaoshawishika na wasioshawishika katika hili?

Kwa wadada kupata vishawishi kutoka wanaume naomba mdau aniorodheshe hapa
kama vipo,na kama vipo ni yapi hayo? Je,vishawishi wanavyopata wanawake ni kubwa kuliko vishawishi wanavyopata wanaume.Ni wanaume wachache sana wanaojitahidi kuukwepa vishawishi kutoka kwa wanawake kwa kusema kweli.

Ikiwa mwanafunzi mzuri msichana kapendeza na kanavutia haswaa kavaa linguo linalomvutia hasa mwanaume utafikiri mwanaume ataishia kummezea tu? Lazima atatafuta njia ya kupooza hulka yake popote pale anapoona inapobidi,na huwa haipungui kama mitaani anaendelea kushuhudia hiyo hali inayoamsha tamaa ya ngono.

Sasa dawa ya kukomesha vishawishi vitoke kwa nani?
 
Inakuwaje lakini?
Ukiwa nyumbani hata kama unamai waifu wako lazima usarandie housegirl, ukienda kupata kilaji lazima ujivinjari na barmaid, ukiwa ofisini huishi kumtongoza secretary, mhudumu na wenginoe mradi tu zipu ichezeshwe.Ukipita njiani macho mia mia mara ubebe denti mara..... ukiwa na rafikio wa karibu umtongozee mkewe na mabinti zake.Wengine sasa wameanza kuwatongoza dada zao na mabinti zao,marafiki wa mabinti zao, mama mkwe, shemeji wa kike.....

Halafu ukirudi kwa mai waifu mitambo haifanyi kazi!!!
Hupitwiiiiiii???

...duuuh, na huyo mke kajisahau kiasi gani mpaka mitambo ikimuona inagoma kufanya kazi?

...anazidiwa 'ka -lufundi' mpaka na Barmaid, ma denti na ma housegirl? Kajisahau sana huyo! ha ha ha :D
 
...duuuh, na huyo mke kajisahau kiasi gani mpaka mitambo ikimuona inagoma kufanya kazi?

...anazidiwa 'ka -lufundi' mpaka na Barmaid, ma denti na ma housegirl? Kajisahau sana huyo! ha ha ha :D

Hajajisahau.... battery inakuwa down mpaka kusukuma au kupiga ile start sijui inaitwaje kwa wale wenye ujuzi wa magari..ile unazungusha weeee!!
on a serious note - performance ya some men siku hizi ni gumzo! Iliwahi kuandikwa hata kwenye magazeti.
 
Kumbe vera una mambo? Nlikuwa sijuagi.
 
Vera naamini staha iko kotekote... Ukiacha vibinti vya bar, na videnti(aka sidanganyki) hao wengine wote naona kama wanaelewa wazi aina ya mwanaume wanaejihusisha nae!

Ni kwa nini na nyie pia mnakubali kubali tu hata kama mtu ni MBA??? Si umtose ili ajue hana lake..!!!
 
...duuuh, na huyo mke kajisahau kiasi gani mpaka mitambo ikimuona inagoma kufanya kazi?

...anazidiwa 'ka -lufundi' mpaka na Barmaid, ma denti na ma housegirl? Kajisahau sana huyo! ha ha ha :D

Hahaaaa, mkuu nilikumisi sana... hawa voda wameharibu kweli mawasiliano

Kusema kweli unaposhindwa kwenda home na kufanya kazi za chama inatia aibu; wamama wa sasa sio washamba, wanajua aisee, halafu inafungua milango ya mashetani wa nje wavamie

Ila ombi tu kwa akina mama, bananeni, bar, vilabuni na kujiweka vyema!!! Kuna wamama wako 100% kwenye hili na tunaona kabisa changes za wanaume
 
Hajajisahau.... battery inakuwa down mpaka kusukuma au kupiga ile start sijui inaitwaje kwa wale wenye ujuzi wa magari..ile unazungusha weeee!!
on a serious note - performance ya some men siku hizi ni gumzo! Iliwahi kuandikwa hata kwenye magazeti.

This is very true... sasa mbona umeanza kusema ukweli!!??? Samtaims uwe unafilter mazee
 
VC, hivi unajua kwamba kwenye suala la performance upande wenu ndio soo kabisa!!??? performance, innovation and stamina!!??

[hapa na mie nimekuwa explicit]
 
Hajajisahau.... battery inakuwa down mpaka kusukuma au kupiga ile start sijui inaitwaje kwa wale wenye ujuzi wa magari..ile unazungusha weeee!!
on a serious note - performance ya some men siku hizi ni gumzo! Iliwahi kuandikwa hata kwenye magazeti.

...haya,...

Ufumbuzi unaweza patikana kwa kina baba hao. Siku hizi kuna Cialis, achana na Viagra... kimbembe hao kina mama walalamishi wakigundua 'mzee' ana mzuka mpya wa mchakamchaka, ataeleweka au ndio nyimbo mpya itakuwa, ..."hutosheki mwanaume wewe!"
 
VC, hivi unajua kwamba kwenye suala la performance upande wenu ndio soo kabisa!!??? performance, innovation and stamina!!??

[hapa na mie nimekuwa explicit]

Hapa tunajadili general issues bana..haimaanishi tunaweka mambo yetu binafsi....
Having said that - nadhani unavyosema huenda kuna ukweli..na nadhani kwa kujadili wazi hapa itasaidia wale wote wenye matatizo haya na kujaribu kurekebisha.Au siyo MTM?
 
Back
Top Bottom