All my dreams came true when I married a poor man!

Du nimefurahishwa sana na hii strory. kusema kweli wanawake wote wanapendwa kuitwa honey, babe, dear, my love, my better half, my water melon, my carrot, you name them. Basi ndugu yangu ukitumia hayo maneno upendo na penzi kwa mkeo ni hatari sana yaani wana value sana hayo. unafahamu akina mama au wanawake love feelings zao ni tofauti, a small present will change her completely, hata kama alikuwa amenuna basi atatabasamu. Jaribu utapata matokeo yake. Lakini pia wapo ambao hata ungewanunulia zawadi na kuwaita majina yote mazuri bado hawajitambui na kujithamini. Wanabaki kuwa walalamishi on even small issues ambazo zinaboa waume zao na upendo unapungua. Otherwise, ndoa ni tamu mno kama mtaheshimiana na kuwa na culture ya ku maintain mambo mazuri mliokuwa mnafanyiana kabla ya kuoana mfano, cards, flowers, gifts, sweet words, etc. Siku nyingine inabidi nasi wana JF tutoe shuhuda za ndoa zetu au relationships zetu kwa wale ambao hawana ndoa na tuwe wakweli kabisa. Unajua hapa jamvini ni sehemu ya mafunzo na ku refresh mind. Luv u all.
Kweli kabisa...

Unaonaje tukianza na ushuhuda wako?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom