ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

Nakataa Shark,
Ina maana Kaka hawezi kutafuta through Jukwaa la Siasa au Mk?
Anaweza ampate humu MMU lakini asiwe mzoefu,
maana wengi twapita kila mahala ku-Comment na mbaya zaidi twatumia Fake ID,Fake Avatar na mbaya kuliko zote waweza kujikuta unam-PM He mwenzio ukijua ni She ukajikuta umelamba Garasa!!!
Hilo nalo neno Madame B!!
Ila relations zinahusika hapa MMU zaid kuliko popote.
Kule kwengine anaweza kuwapata wanasiasa wakaishia kupigana siasa tu.
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe unaongeaga na wanaume wangapi? Hii ngoma ingine mamito, nitakurudisha kijijini ukiwa jembe la mkono kama sio ng'ombe ya kulimia. Wewe endelea tu!

Duh! Iko kazi! Naongea na wanaume wengi sana. Btw kijiji gani hicho utakachonirudisha?
 
Hilo nalo neno Madame B!!
Ila relations zinahusika hapa MMU zaid kuliko popote.
Kule kwengine anaweza kuwapata wanasiasa wakaishia kupigana siasa tu.

Mapenzi yana nguvu kuliko kitu chochote chini ya jua.
Unaweza ukaamini Kibaki na ghadhabu zote zile na Urais wake,lakini akimuona Lucy ananywea wakati ni mke mdogo?
 
huyu anataka eti niwe na siksi paksi....well zikikubali ntakuwa double zikikataa basi ntakuwa singo...give me a month ntakuwa nshajua......michemsho hiii khaaa!!
 
Back
Top Bottom