ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

Heeh! Taratibu jamani! Muache mwenzio akae eda, mbio zote za nini? Akhuu!
KakaKiiza, tulia mwaya, Mungu atakuteremshia tunu ila sio kwa voda fasta.

Lakini King'asti c anaweka kbs order?
Akimaliza hyo miezi anajitwalia tu?
Ila kwenye blue,
u mean,wa haraka haraka or chakaramu?
 
Last edited by a moderator:
Kwani makarani hawahesabiwi? Hebu ujiseme hapa manake nakuonaga unamgongea likes my huzbend, ntakunyonyoa manyoya ya mwilini na kichwani wewe! Ohooo!

Toba! King'asti huyo huzbend unayemzungumzia ni nani tena? Hebu funguka nikusome vizuri. Bahati mbaya huwa situnzi manyoya. Kuhusu kufunguka kuwa na subira niko bizeri sana kama unavyoona humu kuna status ambazo kwenye form hatukuziweka hivyo kazi ni ngumu.
 
Last edited by a moderator:
Heeh! Taratibu jamani! Muache mwenzio akae eda, mbio zote za nini? Akhuu!
KakaKiiza, tulia mwaya, Mungu atakuteremshia tunu ila sio kwa voda fasta.
Eda ya nini King'asti?
Anaweza akachukua just wa kumliwaza now wakati anasubiri hiyo eda ipite.
 
Last edited by a moderator:
Toba! King'asti huyo huzbend unayemzungumzia ni nani tena? Hebu funguka nikusome vizuri. Bahati mbaya huwa situnzi manyoya. Kuhusu kufunguka kuwa na subira niko bizeri sana kama unavyoona humu kuna status ambazo kwenye form hatukuziweka hivyo kazi ni ngumu.

Ni-PM mimi status yako basi MwaJ,
Nlishawahi kupitiaga mdada wa jina hili hapo kabla,
Maujuzi yalikuaga balaa, you sound to posses same skills with your wajina!!
 
Last edited by a moderator:
Nyie, mi staki kumchokoza KakaKiiza!
Kama mnataka kufanya uchokodhi muiteni Kongosho tumkomeshe na triplets zake za lokesheni @ kata kivukoni ferry!
 
Last edited by a moderator:
Ni-PM mimi status yako basi MwaJ,
Nlishawahi kupitiaga mdada wa jina hili hapo kabla,
Maujuzi yalikuaga balaa, you sound to posses same skills with your wajina!!

Ha ha haaaaaaaa! Sasa kama maujuzi yalikuaga balaa kwanini uliachia ngazi?
 
Bado sijakupata.
GT mwenzie atamfaa sana KK. Especially mzoefu wa MMU.
Interest sharing ni muhimu katika selection.

Nakataa Shark,
Ina maana Kaka hawezi kutafuta through Jukwaa la Siasa au Mk?
Anaweza ampate humu MMU lakini asiwe mzoefu,
maana wengi twapita kila mahala ku-Comment na mbaya zaidi twatumia Fake ID,Fake Avatar na mbaya kuliko zote waweza kujikuta unam-PM He mwenzio ukijua ni She ukajikuta umelamba Garasa!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe unaongeaga na wanaume wangapi? Hii ngoma ingine mamito, nitakurudisha kijijini ukiwa jembe la mkono kama sio ng'ombe ya kulimia. Wewe endelea tu!

Back
Top Bottom