All JF members... Happy Holidays...

Oooh... Much Thanks and Respects, that's a greatest Gift .....I couldnt dream of...
May the same fall Back to you.
 
Wow.....! what a beautiful graphic designing!
Nimeiweka my wall paper.....
Thank you AD...
Enjoy the season too!
 
Asante sn mpendwa,nawe nakutakia wakati mwema uliojaa furaha tele wakati huu wa sikukuu za x-mass na mwaka mpya.
 
Wapendwa hapa tuweni waangalifu: Hili neno siyo sahihi 100% "X-Mass" unajua ilikuwaje? Neno lenyewe liko "Christmass" ukiangalia hapo mwanzo kuna neno Christ yaani Kristo. Sasa wasiompenda Yesu mwana wa Mungu wao waliliwekea X hilo neno na kuongeza mass yaani hawamtambui Kristo. Wapendwa katika Bwana tusiwe wavivu tuandike tu Christmass, tuacheni kuiga mambo ya watu tutamtukana Yesu wetu bureeee! "Msg delivered"
 
thanks mkuu hata mimi ninakereka kweli kwa wanaoandika X badala ya CHRIST
ni makosa makubwa sana kwakweli!
 
Kweli kabisa,na mimi nilikuwa na wazo kama hilo la kuandika thread kama hyo
hongera kwa kuniwahi.
 
Asante tutajirekebisha manake kweli ni uvivu wa kuandika.

Christmass njema RP..
 
Dear people good mourning,
fear and worry is you who is far from my necked eyes, but all fine.
The disco joker of this peace of greeting is to give you merry xmas and happy new year from my wife, my baby, and all tichers of mine and my fello students who i teach them.
 
Wapendwa wana JF heri na baraka za x-mas ziwaijie na kukaa nanyi kipindi chote cha sikukuu kwenu na wapendwa wenu woote.
 
Dear people good mourning,
fear and worry is you who is far from my necked eyes, but all fine.
The disco joker of this peace of greeting is to give you merry xmas and happy new year from my wife, my baby, and all tichers of mine and my fello students who i teach them.

Ze sem to yu!
 
Kumbe upo mkuu,karibu tena.nilidhani ........................ndo basi tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom