Aliyofanyiwa Dr. Ulimboka yatamaliza migomo?

mapanga3

JF-Expert Member
May 1, 2012
665
633
Hakuna asiyejua yaliyompata mpigania haki Dr Ulimboka, japo serikali inajitahidi kukana kuhusika na utekaji na mateso aliyotendewa Dr. Ulimboka lakina kunaviashilia vingi vinavyoonyesha uhusika wa serikali ktk hili. Vyovyote vile ilivyo je kumfanyia hivyo Ulimboka ndiyo kutaleta ufumbuzi wa migomo ya madaktari au kutazidisha uadui kati yao hawa wawili. Kama serikali itaonekana kuhusika kwa njia moja au nyingine wananchi wataendelea kuwa na imani na serikali yao?
 
si kwamba tutaendelea kuwa na imani bali hatuna imani kabisa na serikali hii na si kwa hili tu la Dr Uli kuna mengi wamechukua pesa zetu wameenda kuzificha uswis serikali inawajua lakini imekaa kimya kule mabwepande tumepewa mahema na sasa yametoboka,gongolamboto ziliharibika nyumba tumepewa pesa za kujengea choo,sasa tutakuwa na imani gani na hawa watu?
 
imani ishapotea siku nyingi hapa imebaki staha kwa viongozi nayo inaelekea kupotea siku si nyingi.suala la kujiuliza walikuwa wanafikiria nn had kufanya tukio hilo.zaidi ya kuwa wameweka mambo kuwa mabaya za
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom