Aliyoandika Peter Msigwa kwenye wall yake ya Facebook

Get well Kamanda
Mawazo yako ni yakini kwa kila mwenye kuutendea haki ubongo wake kwa kufikiria kwa usahihi.
 
utumbo...............................aka pumba...............

Unafanya mchezo nini? kabla ya kwenda south kusomea uchungaji alikua anauza viatu vya mitumba pale mshindo leo hii mambo supa wafikiri atasahau? ubunge umemtoa![/QUOTE]

Dogo kwani tatizo liko wapi,kwani ukiwa muhuza mitumba ndio huwezi kuwa kiongozi,Rais aliyemaliza muda wake wa Brazil alikuwa mng'arisha viatu,na amekuwa the best president ever Brazil hawaja wahi kupata.......
 
Mbunge wa Tanzania pekee ndie anaeweza kuandika bila ya kufuata kanuni za uandishi na watu wakamshabikia.

Kisha tunalalama kiwango cha elimu kimeshuka Tanzania. Kama maandishi hayo ni mazao ya elimu ya zamani, basi sioni tofauti na sasa
 
Peter Msigwa
Kugombea uraisi ni haki ya Kila raia wa Tanzania ,rai yangu kwa Kila anayetaka urais anapaswa atuambie,1.what is his/her vision for this country? 2.is he /she able to Articulate the optimistic view of the future
3.what is the real problem of this country and How is gonna be fixed ?
It is all about
Vision
Character
Action
Bado nimelala kitandani MOI niendelea na matibabu baada ya kufanyiwa upasuaji Jana. I miss Iringa ,the home of education........have great weekend, and stay blessed.

Wise words, nahisi kama nasoma washington post vile, au naangalia msnbc kuna comment za ukweli
 
Back
Top Bottom