Aliyewaonyesha kazi wavulana kidato cha nne huyu hapa.........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
lucymallya.jpg

MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita.
 
Dhana potofu kuwa wasichana huwa hawafanyi vizuri sasa ni vipande vipande.......................................kweli juhudi ni shina la maendeleo................
 
Halafu bado tunawazia mambo ya viti maalum kwa wanawake, wakati kwa hali inavyoonyesha viti maalum kwa siku za usoni zitatakiwa kupewa akina baba!..huh!
 
lucymallya.jpg

MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita.

.you're right, boys wetu wanakimbizana na ben10, wanafikiri watapiga miujiza ya ben10.
 
lucymallya.jpg

MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita.
Hongera zake . ila heading nadhani haimtendei haki maana yeye lengo lake lilikuwa kufanya vizuri na amelitimiza na si kupambana na wavulana.
 
lucymallya.jpg

MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita.

Binafsi nampongeza huyu Binti, kama kweli pamoja na kutokuwa na wazazi wake amefanya hivi basi iwe changamoto kwa Yatima wengine na wote, kufiwa na wazazi kuna huzunisha ila isiwe kigezo cha kutaka kuhurumiwa tu, juhudi ni kazi na kushirikiana na walezi wengine mtu yoyote atafanikiwa na Mungu ni mwema.
 
Good girl, inatia matumaini sana wasichana wanapoamua na kujitambua kuwa wanaweza, we are writting a new page in history. Congrats my dada. Sky is the limit now.
 
hongera sana dada, ila tatizo la kina dada zetu wengi wakifika hatua ya chuo wanapwaya....
 
Tatizo kulea hivi vipaji ni ngumu hapa tanzania.leo kaongoza kitaifa,miaka 5 ijayo board ya mikopo itakuwa inamnyanyasa kama wale wa div 3 na miaka 10 mbeleni taifa halitamtambua kama aliwakimbiza wanaume kwenye mtihani mwaka huu.
 
lucymallya.jpg

MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita.

Utaona mifataki inaanza kumnyemelea kwa ofa ya vitabu na ada mshindwe na kulegea
 
Lucylight hongera sana, Mungu akutangulie ili ufanikiwe zaidi. Soma zaidi kwa manufaa yako na Taifa pia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom