Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,257
- 105,390
Jamani, mbona kuna machifu wengine walipigana kiume na hao hao Wajerumani kama vile Mkwawa, Mirambo na yule wa Vita vya Maji Maji? Huyu wa Mbwela wa Wazihua alikuwa fisadi tu, kama hawa wengine tunao siku hizi.
Zak Malang umesema.
Ngambo Ngali,
Unaona mtu anayeweza kusema bila fake modesty na kuwa wishy washy huyo? Simaanishi kwamba namuunga mkono Zak Malang, lakini mtu ukimsoma angalau unajua anasimama wapi, yeye anafikiri kwa sababu kuna machifu wengine hawajasaini mikataba na wamepigana na Wajerumani, basi huyu Chifu hata kama alikuwa hajui kusoma alikuwa msaliti tu.
Mtu yupo clear huyo, anachukua msimamo sehemu moja, hata kama hukubaliani naye unamuelewa.
Sio Ngambo Ngali anatuletea u polictician, kichwa cha thread kinamshutumu chifu kauza nchi, thread yenyewe iko apologetic eti ooh chifu hakujua alichofanya, tuambie moja tuelewe sio unatupa story mbili zinazopingana.