aliyeuza nchi kwa Karl Peters 1884, huyu hapa

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,359

Dk. Karl Peters (kati) akiwa na wenzake Dk. Karl Juhlke na Joachim Graf. Huyu Dk. Karl Peters ndiye aliyewaingiza mkenge babu zetu wakati wa kuingia ukoloni wa Ujerumani nchini kwa kuingia katika mikataba ya kilaghai na watawala wetu wa jadi

Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, ndiye aliyekuwa mtawala wa jadi wa kwanza kutia saini mkataba na Dk. Karl Peters mwaka 1884.

Nimeikuta hii michuzi blog, inasikitisha sana. Hii ilikuwa 1884 miaka 126 iliyopita karibu karne 1 na robo. Maskini Mbwela alikuwa hajasoma hivyo hata hiyo sahihi sidhani kama ilikuwa ya kwake na hata kama ilikuwa ya kwake katu hakujua anachosaini.

Sisi tumesoma, tumesafiri sana, tunauelewa, Hivyo mwaka 2110 kizazi kijacho kitasemaje kuhusu Loliondo, Buzwagi, Bulyanhulu, Geita, Kahama na Ardhi wanayopewa wageni kwa kisngizio cha Kilimo kwanza? Na chochote watakachosema, kutakuwa na sababu ipi ya kusema vinginevyo?
 
Are you mad, if someone puts a gun to your head (by directly doing it or giving guns to your enemies, utakataa wakumalize).. Hii mikataba ilikua null and void by the fact that the chiefs did not understand the legal basis of the agreements and thus just rubberstamped things that they did not even understand. Dr. Peters, (I'm so glad the worms have already eaten his brain..the mofo..) was a tyrant and he defiled our native women in Kilimanjaro and other places. He killed Africans like dogs and raped our grandmothers, in Germany he was demoted from the position of Reich Commissioner after it was discovered that he is a sadistic mean and inhumane person. His title and pension was reinstated by the Kaiser and later Hitler..

Karl Peters - Wikipedia, the free encyclopedia

Someone should exhume his body and feed it to the pigs.
 
Kumbe tradition ya kusign mikataba mibovu ni ya siku nyingi sana hapa TZ!
 
Kwani huo mkataba uko wapi? mwenye nakala atuwekee hapa!

Hata utakuwepo hautosaidia kitu chochote yameshapita hayo yamepita tugange yajayo tuangalie matatizo yetu sisi wenyewe na tujuwe namna ya kuyatatuwa waliofanya makosa ni mababu zetu tuwasamehe tujiangalie sisi tunaosema kuwa tumesoma je kisomo chetu kinatusaidia* au Uongo mtupu Dhambi aliotenda Adamu na hawa ni makosa yao wenyewe sio sisi jamani
 
. Huyu Dk. Karl Peters ndiye aliyewaingiza mkenge babu zetu wakati wa kuingia ukoloni wa Ujerumani nchini kwa kuingia katika mikataba ya kilaghai na watawala wetu wa jadi.
Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, ndiye aliyekuwa mtawala wa jadi wa kwanza kutia saini mkataba na Dk. Karl Peters mwaka 1884.
Nimeikuta hii michuzi blog, inasikitisha sana. Hii ilikuwa 1884 miaka 126 iliyopita karibu karne 1 na robo. Maskini [COLOR]Mbwela alikuwa hajasoma[/COLOR] hivyo hata hiyo sahihi sidhani kama ilikuwa ya kwake na hata kama ilikuwa ya kwake [COLOR]katu hakujua anachosaini[/COLOR].

Sisi tumesoma, tumesafiri sana, tunauelewa, Hivyo mwaka 2110 kizazi kijacho kitasemaje kuhusu Loliondo, Buzwagi, Bulyanhulu, Geita, Kahama na Ardhi wanayopewa wageni kwa kisngizio cha Kilimo kwanza? Na chochote watakachosema, kutakuwa na sababu ipi ya kusema vinginevyo?

Si haki kumlaumu sana Chifu Mbwela kwasababu kwanza alikuwa hajui kwanini hao wazungu walikwenda katika nchi anayoiongoza. alikuwa hajui ulimwengu huu ukoje, pia alidanganywa na zawadi walizompa kabla ya kuingia mkataba huo. kumbuka pia umesema alikuwa hajui kusoma.

The great shame is here: Viongozi wetu sisi wanajua kusoma. Wanajua historia ya ubepari na ukabaila na namna ukoloni ulivyoingia Afrika. Haitoshi wamezaliwa katika kipindi cha ukoloni na wengine wao waliona madhara ya ukoloni. Sasa anapokuja kusaini mikataba kwa mapato ya kitoto hapo ndipo ninapowaona wakina mangungo wa Msovero na Mbwela wa Uzigua kuwa ni bora mbali sana kuliko hawa. Ni UPUMBAFU kwa "rahisi", waziri mkubwa sana na waziri kwenda Londoni kusaini mkataba katika hoteli aka Guest house kubwa ili kuiuza Buzwagi. Halafu wanatudanya eti ilikiuwa ni bahati tu waligongana kwani waziri mkubwa sana alikwenda shopping tu katika mji huo.

Shame on you, poor leaders of Tanzania!!!!

Shame kumpa ardhi yenye madini Sinclair,kutoa samaki wetu kwa wachina na wafilipino, kutoa reli yetu kwa wahindi, n.k
Shame kwa kuuza nchi kwa Bush na waarabu.
 
Nguli na wenzako asanteni kunichekesha sana...
Watanzania si tunapenda sana kufuata traditions?

Hapana mama. Si sahihi kuwa tunapenda kufuta traditions za kipuuzi. Ndiyo maana katika tamaduni zetu kuna usemi usemao "Ukupigia ndio ukufunzao". Ilitusha darasa la wakina Mangungo na Mbwela. Ni upumbavu kuyarudia yale tukifikiri twaweza kumbatia maji ama kwa kumkumbatia nyuki hatutapata madhara.
 
Dk. Karl Peters (kati) akiwa na wenzake Dk. Karl Juhlke na Joachim Graf. Huyu Dk. Karl Peters ndiye aliyewaingiza mkenge babu zetu wakati wa kuingia ukoloni wa Ujerumani nchini kwa kuingia katika mikataba ya kilaghai na watawala wetu wa jadi
Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, ndiye aliyekuwa mtawala wa jadi wa kwanza kutia saini mkataba na Dk. Karl Peters mwaka 1884.

Nimeikuta hii michuzi blog, inasikitisha sana. Hii ilikuwa 1884 miaka 126 iliyopita karibu karne 1 na robo. Maskini Mbwela alikuwa hajasoma hivyo hata hiyo sahihi sidhani kama ilikuwa ya kwake na hata kama ilikuwa ya kwake katu hakujua anachosaini.
.
Ngambo Ngali, sina na tatizo na whoever aliyetia sahihi mkataba na Karl Peters, kumbukumbu yangu ya historia ya darasa la Nne, inamtaja aliyeingia mkataba na Karl Peters ni Chifu Mangungo.

Hata ukiangalia hizo picha, picha ya Karl Peters ni ya kuchorwa, work of art, miaka hiyo ya 1884, photografy ilikuwa bado kufika Afrika, lakini hii picha ya Chifu Mbwela ni photograph, picha halisi ya kupigwa na still camera, hii ni kuthibitisha ni picha ya karne ya 19, yaani miaka ya kuanzia 1900.
 
Are you mad, if someone puts a gun to your head (by directly doing it or giving guns to your enemies, utakataa wakumalize).. Hii mikataba ilikua null and void by the fact that the chiefs did not understand the legal basis of the agreements and thus just rubberstamped things that they did not even understand. Dr. Peters, (I'm so glad the worms have already eaten his brain..the mofo..) was a tyrant and he defiled our native women in Kilimanjaro and other places. He killed Africans like dogs and raped our grandmothers, in Germany he was demoted from the position of Reich Commissioner after it was discovered that he is a sadistic mean and inhumane person. His title and pension was reinstated by the Kaiser and later Hitler..
Karl Peters - Wikipedia, the free encyclopedia

Someone should exhume his body and feed it to the pigs.

Katu hakuwekewa bunduki kichwani. Alihongwa shanga za kuvaa viunoni. Nchi hii iliuzwa kwa shanga za viunoni!!!
 
Are you mad, if someone puts a gun to your head (by directly doing it or giving guns to your enemies, utakataa wakumalize).. Hii mikataba ilikua null and void by the fact that the chiefs did not understand the legal basis of the agreements and thus just rubberstamped things that they did not even understand. Dr. Peters, (I'm so glad the worms have already eaten his brain..the mofo..) was a tyrant and he defiled our native women in Kilimanjaro and other places. He killed Africans like dogs and raped our grandmothers, in Germany he was demoted from the position of Reich Commissioner after it was discovered that he is a sadistic mean and inhumane person. His title and pension was reinstated by the Kaiser and later Hitler..

Karl Peters - Wikipedia, the free encyclopedia

Someone should exhume his body and feed it to the pigs.

Mbona machifu wengine hawakusaini mikataba na wajerumani? Kusaini kwao kulitokana na tamaa ya vitu vidogovidogo shanga, vioo, sabuni wakaona wameula na wakawapa sehemu za chiefdoms zao, the rest is history kwani ukoloni ndipo ulipoanza
 
Kwani huo mkataba uko wapi? mwenye nakala atuwekee hapa!

Ukiupata itakusaidia nini tayari tumetawaliwa babu zetu wamepigana na wamekufa sana au unataka kufungua kesi dhidi ya serikali ya ujeremani kwa kuua babu na bibi zetu? Kuna principle ya compensation ambayo wamarekani weusi wamekuwa wakilipwa kwa vitendo vya utumwa walivyofanyiwa ndugu zao. Yanayolipa na makampuni makubwa yalijihusisha na biashara ya utumwa. Nikikumbuka nitakutajia hiyo principle.
 
Kumbe tradition ya kusign mikataba mibovu ni ya siku nyingi sana hapa TZ!

like great great great great great great great great great great great great great great great great great great grandfather like son
 
Ng'ambo ngali asante sana kwa kunikumbusha mbali...kila mtu anapenda maisha yake .kama walimtishia mtutu..hakuwa na ujanja !
 
Si haki kumlaumu sana Chifu Mbwela kwasababu kwanza alikuwa hajui kwanini hao wazungu walikwenda katika nchi anayoiongoza. alikuwa hajui ulimwengu huu ukoje, pia alidanganywa na zawadi walizompa kabla ya kuingia mkataba huo. kumbuka pia umesema alikuwa hajui kusoma.
The great shame is here: Viongozo wetu sisi wanajua kusoma. Wanajua historia ya ubepari na ukabaila na namna ukoloni ulivyoingia Afrika. Haitoshi wamezaliwa katika kipindi cha ukoloni na wengine wao waliona madhara ya ukoloni. Sasa anapokuja kusaini mikataba kwa mapato ya kitoto hapo ndipo ninapowaona wakina mangungo wa Msovero na Mbwela wa Uzigua kuwa ni bora mbali sana kuliko hawa. Ni UPUMBAFU kwa "rahisi", waziri mkubwa sana na waziri kwenda Londoni kusaini mkataba katika hoteli aka Guest house kubwa ili kuiuza Buzwagi. Halafu wanatudanya eti ilikiuwa ni bahati tu waligongana kwani waziri mkubwa sana alikwenda shopping tu katika mji huo.
Shame on you, poor leaders of Tanzania!!!!
Shame kumpa ardhi yenye madini Sinclair,kutoa samaki wetu kwa wachina na wafilipino, kutoa reli yetu kwa wahindi, n.k
Shame kwa kuuza nchi kwa Bush na waarabu.

Nawalaumu wanaouza nchi yetu sasa wao wamesoma lakini bado wanauza nchi yetu, hao ndio wa kulaumu
 
Mkataba mbovu kuliko yote ni wa kupiga kura......kila baada ya miaka 5 Watanzania kwa mamilioni Tunasaini....hiyo ya Buzwagi et al ni Sub contracts tu.....
 
Mi situpi lawama zote kwa hawa mababu zetu...at least they might have smthing to justfy themselves kama mfano wangekuwepo...Elimu na ufahamu wao ulikuwa mdogo sana...na wazungu walitumia hiyo hiyo ignorance yao kutuumiza.... SWALI JE hawa mafisadi wa sasa wanaotumia elimu na utashi wao kwa maslahi ya wenyewe na familia zao...bila kujali jamii...wanaiuza nchi mchana kweupe... tena ukijaribu kuhoji unakumbana na mabalaaa.... mara sio raia... mara hulipi kodi....
 
Back
Top Bottom