Aliyetaka kuvuruga mdahalo wa katiba jana si mpemba

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,509
Habari JF,
Yule jamaa aliyejitambulisha jana kwamba ni mpemba alidanganya umma,mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa habari na midahalo,yule jamaa mara nyingi huwa anaudhuria kipindi cha mpambano wa hoja kila alhamis ITV na anaongea lafudhi nzuri lakini jana alikua ana-immitate lafudhi ya ki-pemba ili aonekane mpemba,sasa mimi najiuliza huyu kijana nani anayemtumia?

UPDATE:Tar 02 Feb 2012 Jamaa aliongea lugha nzuri tu na sio lafudhi ya kipemba kwenye mdahalo wa kuhusu uhamiaji haramu nini kifanyike:

attachment.php
 
Attachments

  • Mpemba Feki.JPG
    Mpemba Feki.JPG
    69.5 KB · Views: 45
jf. Tusiwe dhaifu kwani hata kama c mpemba lakini c mtanzania,? Huo upemba wake ama cy mnautakia nn? Ubaguzi huo,, acheni kbs....tunajadili katiba tuiandike vp mambo ya mpemba, msukuma, mchaga cjuwi mkara weka kapuni mara moja buu shit.
 
Mbona unaboa kama jina lako? Hapa hatujadili upemba au ukara,sasa yeye kama sio mbaguzi kwa nini ajitambulishe yeye mpemba? Kama uliangalia kati ya wale waliochangia mada kuna mtu aliyejitambulisha kwa kabila? Tunachojadili kwa nini aongopee umma na ku-immitate rafudhi ya kipemba wakati yeye si mpemba anafanya vile kwa manufaa ya nani?
 
Baada ya yeye kujitambulisha mpemba,! Tulipaswa kusikiliza mchango wake na c kuanza kuhoji upemba wake ndicho ninachosema mm,, kumbe hata kama alikuwa na mchango mzuri ama mbaya , tungerudi nyuma kutafuta asili yake ndo tukubaliane nae ama tutofautiane nae?
 
Mbona unaboa kama jina lako? Hapa hatujadili upemba au ukara,sasa yeye kama sio mbaguzi kwa nini ajitambulishe yeye mpemba? Kama uliangalia kati ya wale waliochangia mada kuna mtu aliyejitambulisha kwa kabila? Tunachojadili kwa nini aongopee umma na ku-immitate rafudhi ya kipemba wakati yeye si mpemba anafanya vile kwa manufaa ya nani?

halafu kuna kauli alitoa ya kibaguzi pia kuwa wapemba hawawapendi watu wa bara, huyu ni magamba hasa jana alilkuwa pamoja na Nape kwenye kufungua tawai la ccm.
 
anaitwa matefu kama cjakosea kwenye malumbano ya hoja itv alichafua hali ya hewa kama jana. anajitambulisha km mwanasheria kitaaluma!
 
anaitwa matefu kama cjakosea kwenye malumbano ya hoja itv alichafua hali ya hewa kama jana. anajitambulisha km mwanasheria kitaaluma!
yule ni narrow minded kama wenzie walivyo-anatumika bila yeye kujijua
 
Habari JF,
Yule jamaa aliyejitambulisha jana kwamba ni mpemba alidanganya umma,mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa habari na midahalo,yule jamaa mara nyingi huwa anaudhuria kipindi cha mpambano wa hoja kila alhamis ITV na anaongea lafudhi nzuri lakini jana alikua ana-immitate lafudhi ya ki-pemba ili aonekane mpemba,sasa mimi najiuliza huyu kijana nani anayemtumia?
Hata kama ni mhudhuliaji mzuri wa midahalo lakini ni wazi lafudhi yake ilikuwa ya ku act na ilikosa uhalisia.
 
yule ni narrow minded kama wenzie walivyo-anatumika bila yeye kujijua
Ukiona chama kimeanza kuwekeza zaidi kwenye Propaganda/fitina uzushi na kadhalika ujue mwisho wake umefika. Hebu fikiria kitendo cha Kova kusema al-shabab wamepanga kuvamia maandamano ya kupinga malipo ya Dowans lakini hawana shida na umati wa watu utakaokuwa unaangalia mechi ya Simba na Yanga ni uzushi wa kitoto sana.
 
Ukweli nami nilishituka kwani siku ya malumbano ya hoja hakuwa na lafudhi ile, na kabla ya mdahalo kuanza alikuwa pale blue pearl milango ya saa 7.45 mchana nilikaa mahali nikawa namsikiliza hakuwa na lafudhi ya kipemba kama alivyojitambulisha, nikawa sielewi hivi ni kwa manufaa ya nani.
kuhusu kukatizwa kabla ya kutoa maoni nafikiri ni vizuri kwakuwa vile vipindi ni live anaweza akatokea mwehu pale akachafua hali ya hewa, ingekuwa kuna kuhariri sawa, naunga mkono wale vijana waliowashikisha adabu, kutoa maoni nako lazima kuwa na mipAKA HATA kama ni haki kikatiba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom