Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

CCM ... watasemaje kuhusu kutokumwaga D*** na kuharibu afya za taifa lake?

Nauliza mpango mkakati huu, Uliosukwa kikamilifu na Ushahidi unaoyesha kuwa ni mpango ambao kwa kweli umetulia...UNALIPELEKA WAPI TAIFA!!?
 
Nani anasema CCM Mgombea Urasi wa CCM hana mkono katika hizi meseji.... Ushahidi wa kimazingira huu hapa: Uki-fatilia domain 6telecoms.co.tz, iliyotumika utaona wazi share the name IP ya Kikwete2010co.tz na JK web site yake na nyingine za mafisadi wa papa ziko hosted nao.
Angalia maandishi mekundu!

"
Kikwete2010.co.tz is a domain controlled by two name servers at co.tz. Both are on different IP networks. The name server kikwete2010.co.tz stated in SOA record is not in the list of name servers. Incoming mail for kikwete2010.co.tz is handled by two mail servers also at co.tz. Both are on different IP networks. kikwete2010.co.tz has one IP number (41.77.226.253).
212.233.84.in-addr.arpa, 229.77.41.in-addr.arpa, 228.77.41.in-addr.arpa and 227.77.41.in-addr.arpa share name servers with this domain. 6telecoms.co.tz share mail servers with this domain.


That was brilliant.
 
Njama za kuiba kura hizi hapa | Gazeti la MwanaHalisi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetwishwa tuhuma nzito za kuandaa mipango ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu ili kionekane kimeshinda, MwanaHALISI inaweza kuripoti.

Taarifa zilizosambazwa kwa maandishi katika miji ya Dar es Salaam, Arusha, Moshi na Mwanza mwishoni mwa wiki iliyopita, zinadai kuwa CCM imefanikiwa kupenyeza wachakachuaji kura katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Maandishi hayo hayana saini na yamechapishwa kwenye karatasi za ukubwa wa A4.

Madai hayo yanaihusisha pia serikali na idara ya usalama wa taifa kwa kupeleka NEC watumishi kadhaa wenye ujuzi katika mawasiliano ya kompyuta (IT) ili kufanya maandalizi ya uchakachuaji matokeo ya uchaguzi.

Hata hivyo, Mkurugenzi wa NEC, Rajab Kiravu ameliambia gazeti hili kuwa hawezi kutolea tamko hoja hii kwa madai kuwa alikuwa mkutanoni.

Gazeti lilikuwa limemuuliza iwapo anajua kuwa kuna maofisa wenye utaalam wa IT waliopelekwa NEC kwa lengo la kuchakachua matokeo ya uchaguzi kwa niaba ya CCM.

Alisema, "Niko kwenye kikao. Nikitoka hapa nakwenda Airport (Uwanja wa Ndege). Nakwenda Zanzibar. Nitafute Jumatano (leo) nikitoka Zanzibar."

Nacho Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekiri kupelekewa makaratasi hayo, mbali na nyaraka kutoka serikalini, NEC na idara ya usalama wa taifa zinazoonyesha kuwapo kwa mpango huo.

Akiongea na gazeti hili kwa njia ya simu kutoka Mwanza, mwanasheria wa CHADEMA na wakili wa mahakama kuu, Mabere Marando, alisema chama chake kinafahamu njama hizo na kwamba kimepanga kuchukua hatua za haraka kuhakikisha hakuna kura inayoibwa.

Kupatikana kwa taarifa hizi kumekuja siku 14 tangu gazeti la serikali, Daily News kujiapiza kuwa mgombea urais kupitia CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, hatakuwa rais wa tano wa Jamhuri.

Aidha, taarifa hizi pia zinakuja siku tano tangu Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi (JW), Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo atangaze kuwa jeshi linaingia rasmi katika mchako wa uchaguzi mwaka huu.

Ijumaa iliyopita, Shimbo aliwaambia waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuwa majeshi ya ulinzi yameona dalili za amani kuvunjika na kwamba sasa yanawataka wananchi na vyama vya siasa kukubali matokeo ya uchaguzi utakaofanyika mwishoni mwa mwezi huu.

Alisema vyombo vya ulinzi vitashirikiana na NEC katika kipindi chote ili kuhakikisha kuwa wadau wote wanaheshimu matokeo.


Vyama vya siasa, vyombo vya habari, asasi za kijamii, wanaharakati na watu binafsi wamelaani gazeti la serikali kwa kutangaza mshindi kabla uchaguzi haujafanyika.

Asasi hizo pia zimelaani kitendo cha jeshi kujiingiza katika mchakato wa uchaguzi zikisema ni kutoa vitisho kwa vyama vya upinzani na wapigakura.

Wakati huohuo, MwanaHALISI lina taarifa kuwa Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (REDET) unaandaa taarifa zitakazoonyesha kuwa mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete, amepata ushindi wa asilimia 80.

Taarifa zinasema vijana waliopelekwa na REDET kufanya kura ya maoni wamenyimwa madaftari ya wakazi ambamo wangeopoa mtu mmojammoja wa kuuliza.

Badala yake wanukuu maoni wamekuwa wakielekezwa kwa wajumbe wa nyumba kumi (balozi) wa CCM na mashabiki wakubwa wa chama hicho, utaratibu ambao utaonyesha kuwa wanaopenda CCM na Kikwete ni wengi.

Alipoulizwa juzi juu ya mkasa huo, juzi Jumatatu, saa 11.52 jioni, mtafiti mkuu wa REDET, Dk. Bernadetta Kiliani alijibu, "Hilo si kweli."

Alisema, "Watafiti wetu wamepewa ushirikiano wa kutosha na sina taarifa hizo unazosema."

Kuhusu lini REDET itatoa matokeo ya utafiti wake wa uchaguzi wa mwaka huu, Dk. Kiliani alisema, "Subirini mtaambiwa."


Bali imefahamika kuwa ripoti ya REDET imepangwa kutolewa wiki mbili kabla ya uchaguzi mkuu wa 31 Oktoba 2010 ikionyesha mshindi kuwa Kikwete kwa asilimia 80.

Alipotakiwa kuthibitisha taarifa kuwa REDET inasemekana kuwa tayari imeandaa matokeo ambayo yatamuonyesha Kikwete kushinda kwa asilimia 80, Dk. Kiliani alikata simu.

Dk. Benson Bana, mwenyekiti mwenza wa REDET na mshauri wa siasa wa Rais Kikwete, hakupatikana kutoa maelezo zaidi.

REDET ilituma watafiti katika mikoa 10 ya Tanzania Bara, ikiwamo Dodoma, Singida, Mtwara, Kilimanjaro, Mbeya, Iringa na Dar es Salaam.

Watafiti waliotumwa katika baadhi ya mikoa, walipewa maelekezo ya kukutana na watendaji wa vijiji, kata na mitaa ambapo kwa utaratibu wa awali walikuwa wakutane na wananchi kwa kutumia daftari la wakazi.

Habari zinasema REDET imekuwa na mawasiliano na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, juu ya mipango hiyo ili CCM ionekana inakubalika.

Hata hivyo, MwanaHALISI lina taarifa kwamba baadhi ya watafiti tayari wameripoti kwa Dk. Kiliani kulalamika kukutanishwa na mabalozi wa shina, lakini akaagiza kuwa watafiti wakubaliane na maelekezo yote wanayopewa na wahusika.

"Hawa REDET wametumwa kumfayia kazi Kikwete; ndiyo maagizo waliyopewa. Maana kila unapopita, unaambiwa hakuna daftari la wakazi, wakati serikali imetumia daftari hili katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana," anasema mmoja wa watafiti waliotumwa na REDET.

Anasema, "Tumeripoti jambo hili kwa mkubwa wetu, Dk. Kiliani, lakini hakuna hatua zilizochuliwa, badala yake anasema tuendelee na kazi,"

"Haya yote yanalenga kuhalalisha matokeo yatakaoipendelea CCM," anasema ofisa mmoja wa serikali ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini.

Asasi nyingine ambayo inashughulikia utafiti wa kura za maoni nchini ni Synovet ambayo hivi karibuni ilikana kufanya utafiti wowote juu ya uchaguzi wa rais.

Synovate ilikuwa inapinga kauli ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyesema asasi hiyo ilificha matokeo ya utafiti yaliyotoa ushindi wa asilimia 45 kwa chama hicho na mgombea wake wa urais, Dk. Slaa, huku Kikwete akipata asilimia 41.

Mbowe alisema Synovate iliamua kuchukua uamuzi huo kutokana na kile alichoita, "kutumiwa na CCM."

Siku moja baada ya taarifa hiyo kutolewa, Synovate ilikana kuficha matokeo, ikisema katika utafiti uliofanyika, hakukuwa na swali lililolenga kujua mgombea gani wa urais anayefaa kuchaguliwa.


Hata hivyo, MwanaHALISI limeona baadhi ya maswali ambayo watafiti wa Synovate walipewa. Miongoni mwake lilikuwa lililouliza: "Mgombea gani wa urais unamuona anafaa?"

Katika karatasi ya utafiti, Synovate waliweka majina ya wagombea 10 na kuuliza, "Nani ungependa zaidi kumpigia kura kuwa rais katika uchaguzi utakaofanyika mwezi wa kumi?"

Waliotajwa katika fomu ya dodoso, kwa mpangilio wa Synovate ni: Profesa Ibrahim Lipumba, Hashimu Rugwe, Mutamwega Mugahywa, Christopher Mtikila, Juma Ali Hatibu, Willibrod Slaa, Jakaya Kikwete, Paulo Kyara, Kuga Mzirai na Fahmy Nassoro Duvutwa.

Swali hilo lipo katika jalada Na. GPO 6, ukurasa wa 21 wa dodoso za utafiti Na. 42175 ya Septemba 2010.

MwanaHALISI ina mawasiliano kati Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Salva Rweyemamu na mwenyekiti wa kampeni za CCM, Abdurahman Kinana na January Makamba ambaye ni msaidizi wa rais juu ya nia yao ya kutumia Synovet kuwapa taarifa za uchaguzi.

Rweyemamu, katika andishi lake la 21 Juni 2010 ambalo lilinakiliwa kwa Kinana na January, anaelekeza kutumika kwa kampuni ya Synovate katika kampeni za CCM. Katika andishi jingine anasema wanaweza kutumia hata "kampuni nyingine." Hakuitaja.

Alipoulizwa Rweyemamu kuhusiana kushiriki kwake katika mkakati wa kupika matokeo alisema hawezi kuzungumzia "kwa sasa," na kusema "Mimi niko mbali."

Alimtaka mwandishi kuwasiliana na Premi Kibanga ambaye ni mwandishi wa habari msaidizi wa rais.

Katika mawasiliano mengine yanayohusu kutumiwa kwa makampuni ya kitafiti, Rweyemamu anaadika kwa Kinana na January na kupeleka nakala yake kwa Thobias Makoba, Amina Lukanza, Patricia Michael, Chia Ngahyoma, Rashid Shamte na Maryam Nnauye akisema, "…tutakieni kila la kheri…"


Mtoa taarifa wa MwanaHALISI anasema kazi ya kuchakachua matokeo itafanywa kwa ustadi mkubwa kwa ushirikiano na kitengo cha IT katika ofisi isiyorasmi ya CCM iliyopo Na. 175, Mtaa wa Undali, Upanga, Dar es Salaam.

Ni katika ofisi hii, mtoto wa Kikwete, Miraji Jakaya Kikwete, ameweka marafiki zake wakiwamo wataalamu wa IT ambao alipata kusoma nao huko Bangalore, nchini India. Orodha ya majina ya watalaamu hao tunayo.

Inadaiwa kuwa ikulu inatumia Sh. 46 milioni kila siku kugharimia kundi la wataalam wa IT. Wenye mkoba wa kulipa wataalmu hao wametajwa kuwa ni Rweyemamu na Miraji.

Mtoa taarifa anasema wahusika wanahisi taarifa hizi zaweza kuvuja na kusababisha CHADEMA na vyama vingine kuandamana kupinga matokeo.


Hiki ndicho wachunguzi wa mambo wanaona ni uhalalishaji wa jeshi na vyombo vingine vya ulinzi kutangaza kujiingiza katika mchakato wa uchaguzi mwaka huu.


Mjumbe wa NEC-CCM ambaye hakutaka jina lake litajwe, amesema uchakachuaji wa kura unaotarajiwa "utafanana ule ambao CCM ilitumia katika chaguzi ndogo za Busanda na Biharamulo.

Mpango wa kutumia jeshi kudhibiti wapinzani uliwahi kutumiwa na rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ambaye alitumia kitengo chake cha usalama wa taifa (CIO) na jeshi kushughulikia mpinzani wake mkuu wa kisiasa, Morgan Tsvangirai.


'"Mazingira ya sasa yanaonyesha kuwa Kikwete anataka kutumia dola kama alivyofanya Mugabe, ingawa kuna baadhi ya mbinu naambiwa usalama hawaziamini kama zinaweza kumsaidia," ameeleza M-NEC.

Gazeti liliwasiliana na Kinana kutaka kujua kama kweli chama anachopigia debe kimekuwa na "mikakati ya kimamluki."

Kinana amesema hayo ni madai mazito ambayo alikuwa hajawahi kuyasikia. Amesema, "Sinazo taarifa hizo. Nasikia kutoka kwako. Naiheshimu Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Inafanya kazi zake kitalaamu zaidi. Inazingatia sheria na taratibu, hivyo sidhani kama wanaweza kuingia kwenye hayo unayonieleza."

Kinana alisema utaratibu wa kuhesabu kura vituoni ni makini na kwamba kuna utaratibu wa mtu ambaye hakuridhika kwenda mahakamani.


"Mimi naona hizo ni kelele za vyama na wagombea wanaoona wazi kwamba wanashindwa. Wanaanza kutunga uwongo ili matokeo yakija ionekane yamepikwa," amesema Kinana.

Alipobanwa kuhusu mpango wa REDET kutaka kutoa tathimini ya mwenendo wa uchaguzi ambako kwa mujibu wa uchunguzi wa MwanaHALISI, inaonyesha kuwa CCM itaongoza alijibu, "Hiyo sijui."

Kwa upande wa Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba, "Kuhusu hilo la kuchakachua matokeo, niseme ukweli, mimi ndiye katibu mkuu, hatujatuma watu na wala sina kauli zaidi ya hiyo."


Lakini mwandishi alipotaka kujua kauli ya CCM juu ya jeshi kutoa tamko kali na kama hiyo siyo mwanzo wa jeshi kuchukua madaraka, Makamba alisema, "Nawapongeza."

"Nchi haiwezi kuchukuliwa na jeshi kama unavyosema. Hilo halipo, bali nawapongeza kwa sababu wanataka uchaguzi ulio huru na haki. Jeshi haliwezi kwa sababu vyama vimeweka wagombea urais – CCM, CHADEMA, APPT, CUF sasa tuache siasa ifanye kazi."

Kuhusu taarifa kwamba hata REDET imekuwa na mpango wa kutoa taarifa yenye maelekezo ya kuipamba CCM, Makamba alijibu, "Hilo nalo sijui."

Naye Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Saidi Mwema alipotakuwa kusema kama ni kweli serikali imeagiza silaha msimu huu, hakuwa wazi.


Alisema, "Tatizo la watu wengi ni kwamba wanafikiri mambo ya usalama ni one-time event (tukio la mara moja tu), hii si kweli. Uchaguzi unafanyika mara moja lakini usalama ni jambo la kila siku.

"Hivyo vifaa unavyosema vimenunuliwa, havitatupwa baada ya uchaguzi huu. Vitaendelea kutumika miaka mingi ijayo kwa faida ya nchi yetu na watu hawatakiwi kutishwa na hilo," alisema.
 
Revealed: Kingpin behind `hateful` text messages




By Guardian on sunday team



17th October 2010


email.png

Email



printer.png

Print



comment_bubble.png

Comments




The hateful text messages widely circulated throughout the country from mobile numbers registered in Finland were part of an election smear campaign carried out by a local IT specialist currently operating on the fifth floor of Barclays House, The Guardian on Sunday has learnt.
The revelation comes as Finnish and Tanzanian officials launched an investigation to nab the culprits behind the propaganda, which has targeted opposition candidates ahead of the October 31 general elections.
Earlier this week, while addressing the nation on the 11th anniversary of the death of Julius Nyerere, President Jakaya Kikwete described those spreading the hate messages as dangerous to the nation's peace and unity. President Kikwete said circulating defamatory messages was not the way to canvass for votes, as it could create more problems.
“I think this is becoming a serious problem... leadership cannot be gauged by obscenities or bad language against your rivals. This shows that Tanzanians have started to segregate one another,” Kikwete said on Thursday this week.
Text messages sent from Finnish telephone numbers, targeting Chadema presidential candidate Willibrod Slaa, have been circulating since last week. The police, the Tanzania Communications Regulatory Authority and mobile phone providers are investigating the source of the messages to establish who is behind them.
But, according to details gathered by The Guardian on Sunday, including emails sent between October 5 and 10, this year, the IT specialist is one, Rashid Shamte, who has a very strong connection with senior IT specialists at two leading mobile companies.
Two weeks ago, Shamte received edited versions of the ten hateful messages plus the 'ten commandments' at his email address rashid.shamte@6telecoms.co.tz. In one of the email seen by this newspaper, the author says, “Brother, we have finished your assignment with my boy who seemed to be good in doing this job…I will call you shortly so that we see how to empower him financially.” “As you may be aware this is a tough job that needs time and creativity” reads another one of the emails sent to rashid.shamte@6telecoms.co.tz on October 10, this year.
But, not all messages designed, authored and sent to Shamte’s emails were hateful or incriminating. Majority of these emails were just strategies aimed at responding to various policy issues raised by Dr Slaa and Professor Lipumba.
The hateful text messages have predominately targeted Chadema presidential candidate Dr. Willibrod Slaa but have also been directed at Professor Ibrahim Lipumba.
The first crop of ten messages accused Dr. Slaa of being a dangerous man who shouldn't be trusted with the task of leading a nation like Tanzania. Some of these messages were circulated to millions of mobile phone subscribers two weeks ago, forcing Chadema to file an official complaint with law enforcers.
“When you wake up on the morning of October 31, remember to recite this prayer: Oh Father who art in heaven and earth, don’t divide your people the way Chadema does; give us rights as the way those who come from Kilimanjaro give themselves; don’t deny us opportunities because we are not the in-laws of Mzee Mtei, give us light to live longer, and don’t take us hurriedly the way you took our hero Chacha Wangwe” reads one of these text messages
The text messages also depict Dr Slaa as a leader bent on winning the presidency at all costs, even if it would mean spilling blood. The texts were sent from two numbers, +358-8108226 and +358-8976578, both bearing the Finnish country code. One of the messages accuses Chadema of being a tribal party dominated by Chagga people who receive their orders from former Central Bank governor Edwin Mtei. Mtei is among the founders of Chadema party, which was officially registered in July 1992.
The second round of text messages contained the so-called 'Ten Commandments', in which nine out of these are directed at Dr Slaa, and one is dedicated to Professor Lipumba of Civic United Front.
Although none of these messages attacked the ruling party or its candidates, there is still no credible evidence directly connecting CCM with the author of these damaging messages. According to details obtained by this newspaper, the 'Ten Commandments' were meant to be circulated the day before the election.
In one of the commandments, the author says, “Don’t follow Dr Slaa; he is a womanizer who commits adultery with married women and then dumps them.” Based on the emails sent to rashid.shamte@6telecoms.co.tz, Shamte seems to have been the distributor of the texts, using his IT expertise and connections with telecoms specialists to distribute the texts to millions of mobile phone users in Tanzania.
These emails also show that he has a very strong connection with one firm currently contracted by the ruling party to deal with its online communications through blogs and websites. The firm also has its office at Barclays House fifth floor, Ohio street, according to details gathered by The Guardian on Sunday.
All of Shamte's emails bear the signature of a Blackberry, showing that he usually uses his mobile phones to communicate with his partners in this smear campaign.
The Guardian on Sunday has reliably established that Shamte has also acted as a media analyst, giving his assessment of how the media has covered the top three presidential candidates since the campaign started.
Contacted yesterday through his mobile number, Shamte would not discuss the issue, and when asked to confirm that email address rashid.shamte@6telecoms.co.tz was his, he responded by asking how our reporter got his mobile number.
“If you can please tell me who gave you my telephone number,” requested Shamte yesterday evening when contacted through his cellular phone number.
The Guardian on Sunday’s reporter responded: “As we are always in search of credible information, we take every trouble to get to our sources of information, and today you stand as one of our credible sources,” asking him to confirm whether the email address actually belonged to him.
But instead, he chose to hang off.
The police have yet to apprehend any suspects connected to these defamatory and incriminating text messages, while the Tanzania Communication Regulatory Authority has also failed to identify the owner of the mobile number.
However what puzzles many people is how the author of these messages managed to access the database of various mobile phone operators in order to reach millions of people countrywide directly.
Under normal circumstances, no mobile handset can store that volume of contacts, but the mysterious author managed to jam over 5 million users within 48 hours, causing panic and outrage among opposition supporters.
Although none of the messages advised for the masses to take any action against the opposition, the rhetoric used was reminiscent of the genocidal propaganda spread in the run-up to the 1994 massacre in Rwanda.
At that time, there was another popular 'Ten Commandments' that was circulated by Hutu extremists in the few days before the genocide, when radio and newspapers were used to incite hate against the Tutsi minority. What followed was the murder of about 1 million Tutsi and moderate Hutus in a genocide that shocked the world.



SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
 
Ahsante; Kwa kumwangalia tu unaona alivyokaa kifisadi. Mimi nilifikiri ni akina Patel kumbe jamaa black kama mimi ila amekubuhu katika kuchakachua amani yetu kwa message mfu

Mkuu hebu ifanyie ectraction hiyo picha uiweka moja kwa moja hapa.... sio mpka kuifuata huko kwnye link!!
 
http://www.mwanahalisi.co.tz/njama_za_kuiba_kura_hizi_hapaMtoa taarifa wa MwanaHALISI anasema kazi ya kuchakachua matokeo itafanywa kwa ustadi mkubwa kwa ushirikiano na kitengo cha IT katika ofisi isiyorasmi ya CCM iliyopo Na. 175, Mtaa wa Undali, Upanga, Dar es Salaam.

Ni katika ofisi hii, mtoto wa Kikwete, Miraji Jakaya Kikwete, ameweka marafiki zake wakiwamo wataalamu wa IT ambao alipata kusoma nao huko Bangalore, nchini India. Orodha ya majina ya watalaamu hao tunayo.

Inadaiwa kuwa ikulu inatumia Sh. 46 milioni kila siku kugharimia kundi la wataalam wa IT. Wenye mkoba wa kulipa wataalmu hao wametajwa kuwa ni Rweyemamu na Miraji.

1. Penye red: namba ya nyumba ni 197 na siyo 175 kutokana na habari nilizopata.

2. Nami pia naitupa namba yangu ya Voda. lakini nakumbuka MMKJJ aliwahi kutahadharisha wanaharakati waachane na matumizi ya Vodacom.
 
Nani anasema CCM Mgombea Urasi wa CCM hana mkono katika hizi meseji.... Ushahidi wa kimazingira huu hapa: Uki-fatilia domain 6telecoms.co.tz, iliyotumika utaona wazi share the name IP ya Kikwete2010co.tz na JK web site yake na nyingine za mafisadi wa papa ziko hosted nao.
Angalia maandishi mekundu!
"
Kikwete2010.co.tz is a domain controlled by two name servers at co.tz. Both are on different IP networks. The name server kikwete2010.co.tz stated in SOA record is not in the list of name servers. Incoming mail for kikwete2010.co.tz is handled by two mail servers also at co.tz. Both are on different IP networks. kikwete2010.co.tz has one IP number (41.77.226.253).
212.233.84.in-addr.arpa, 229.77.41.in-addr.arpa, 228.77.41.in-addr.arpa and 227.77.41.in-addr.arpa share name servers with this domain. 6telecoms.co.tz share mail servers with this domain.

Nilikuwa sitaki kucoment but ulivyofafanua hivi nimevutiwa kweli Watanzania safari wameamua nguvu ya umma sasa inafanya kazi mafisadi watakimbia Tanzania safari hii
 
Nani anasema CCM Mgombea Urasi wa CCM hana mkono katika hizi meseji.... Ushahidi wa kimazingira huu hapa: Uki-fatilia domain 6telecoms.co.tz, iliyotumika utaona wazi share the name IP ya Kikwete2010co.tz na JK web site yake na nyingine za mafisadi wa papa ziko hosted nao.
Angalia maandishi mekundu!
"
Kikwete2010.co.tz is a domain controlled by two name servers at co.tz. Both are on different IP networks. The name server kikwete2010.co.tz stated in SOA record is not in the list of name servers. Incoming mail for kikwete2010.co.tz is handled by two mail servers also at co.tz. Both are on different IP networks. kikwete2010.co.tz has one IP number (41.77.226.253).
212.233.84.in-addr.arpa, 229.77.41.in-addr.arpa, 228.77.41.in-addr.arpa and 227.77.41.in-addr.arpa share name servers with this domain. 6telecoms.co.tz share mail servers with this domain.

CCM wana tatizo la kutoelewa madhara ya kufikiri, kuishi na kutenda ki-analogue katika digital era. Wanaumbuka vibaya sasa
 
Ndo maana nilijiunga na JF kuna visima vya fukra hapa na wataaluma waliobobea, ona sasa kila kitu kipo wazi.
 
I knew for sure that this hateful and dangerous propaganda originated from a Muslim Extremist.


you are so low and very little minded!!

please maendeleo ni ya watanzania wote na matatizo ni ya watanzania wote, kipindi kama hiki sio cha kuweka comment zenye mrengo wa chuki au itikadi za kidini, si vizuri kwa amani ya nchi yetu na pia si vizuri kwa chama chako, maana utawafanya hao waislamu wakichukie chama chako and then ukose kura zao, mind you more than 40% ya watanzania ni hao unaowaita extremist na hao wenye imani kama yako wapo 35% tu,ukichukia wengine katika hao 35% ni supporters wa CCM,INA MAANA UMEBAKIWA NA WATU WACHACHE TU,JE SI MUHIMU KWAKO KUWAFUATA WALE 40% NA KUWACONVINCE?

inasikitisha sana kuwa na fikra kama hizi and then watu mnafikiria kushinda uchaguzi, kamwe haitawezekana, unless we stand together and put these foolish,childish and rubbish ideas behind. wenzetu kenya walifanikiwa kuleta mageuzi baada ya makundi yote kujiunga pamoja ,kina balala wakaleta watu wa pwani,kina odinga watu wa magharibi na wengineo,sisi hapa watu mnaanza hatred za kidini hata kwenye suala lisiloinvolve dini,je unafikiri watu watakuwa na mapenzi nanyi?
remember even one vote counts na hujui influence ya kura moja ikoje,kama vipi kamuulizi gordon brown.

mwisho nafikiri waijua vizuri hadithi ya kondoo aliyepotea na haja ya kuwaacha kondoo99 ili kumpata kondoo mmoja, ila wewe hiyo yaelekea huijui kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom