Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

Hawa Vodacom waliwahi ku-block mawasiliano siku ile ya fund raising ya M4C, bila shaka wanatumiwa sana na Magamba.Sitashangaa kuona wanaendelea kuwepo pamoja na uchochezi huu waliufanya, ni juu yetu wanamageuzi kuususia mtandao huu.
 
Hivi nini kilifuata baada ya huyu jamaa kufanya yote haya?? au sheria haziruhusu kuramba watu fulani?
 
Nani anasema CCM Mgombea Urasi wa CCM hana mkono katika hizi meseji.... Ushahidi wa kimazingira huu hapa: Uki-fatilia domain 6telecoms.co.tz, iliyotumika utaona wazi share the name IP ya Kikwete2010co.tz na JK web site yake na nyingine za mafisadi wa papa ziko hosted nao.
Angalia maandishi mekundu!
"
Kikwete2010.co.tz is a domain controlled by two name servers at co.tz. Both are on different IP networks. The name server kikwete2010.co.tz stated in SOA record is not in the list of name servers. Incoming mail for kikwete2010.co.tz is handled by two mail servers also at co.tz. Both are on different IP networks. kikwete2010.co.tz has one IP number (41.77.226.253).
212.233.84.in-addr.arpa, 229.77.41.in-addr.arpa, 228.77.41.in-addr.arpa and 227.77.41.in-addr.arpa share name servers with this domain. 6telecoms.co.tz share mail servers with this domain.
Mkuu asante sana, umenirudisha shule kabisa nimeamini ccm walifanya kile wasichokijua kuwa watu watajua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom