Aliyemwagiwa tindikali Igunga yuko wapi?

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Ni takriban miezi miwili imepita tangu uchaguzi mdogo wa ubunge Igunga ufanyike na moja ya tukio kubwa ni lile la mtu kumwagiwa tindikali, je mtu huyo anaendeleaje,yuko wapi na kama kuna kesi imefikia wapi na je wahusika wameshajulikana? natanguliza shukrani.
 
Yule ni afisa wa UVCCM, wenzake walimzunguka wakamtoa kafara ili kupata huruma kwa wana igunga. Nape atakuwa na habari zake kamili.
 
Lakini kwa nini wanafanya hivyo kuharibu future ya mtu kwa mambo ya kisiasa?
 
CCM hawajali hayo ya utu. Wenyewe wapo tayari kufanya lolote hata kama ni mtu afe 'KIBUDU' ilimradi washinde uchaguzi basi!
 
Ni takriban miezi miwili imepita tangu uchaguzi mdogo wa ubunge Igunga ufanyike na moja ya tukio kubwa ni lile la mtu kumwagiwa tindikali, je mtu huyo anaendeleaje,yuko wapi na kama kuna kesi imefikia wapi na je wahusika wameshajulikana? natanguliza shukrani.
Mimi bado namkumbuka yule ustaadhi aliyepata ujasiri wa kudai 'my wife' wake ameibwa na Dr. Slaa. Sijui yupo wapi huyu shehe...!!?
 
Hiyo Condom ya Mzee Makamba ilishatupwa shimoni zamaaaaani, ila hapo baadaye wanaweza waioshe na kuitumia tena kwenye kinyang'anyiro cha 2015
 
Leo kupitia kipindi cha SITOSAHAU cha RFA nimesikia meseji yake ikisema hato sahau siku alipomwagiwa tindikali, kasema anaendelea vizuri, sikumbuki alituma meseji akiwa wapi.
 
Kwani alodai kuibiwa mke na Dr.Slaa hadi kila siku akawa anaonekana magazetini yuko wapi
na kesi alofungua imeishia wapi?

CHONDE CHONDE,SIASA NOMAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom