Aliyemtisha Rais Kikwete....

:poa:poa
Msanii alikuwa kazini episode 1 ikaisha akaanza episode 2 na sasa yuko episode 6

NADHANI TUBADILIKE SASA TUANZE KUMSIFIA KWA KILA UZEMBE UNAOFANYA NA SERIKALI YAKE KAMA TUKIANDAMANA TUMWOMBE ALIPE UPESI DOWANS,TUMWOMBE AMRUDISHE JAIRO HARAKA ,AONGEZE MGAWO WA GIZA ,TUMWOMBE AKASAINI TENA MIKATABA YA BUZWAGI ,TUANDAMANE AMTEUWE RIZIWAN AMPE UWAZIRI ,NK HALAFU TUMWOMBE SIKU YA MAPUMZIKO IWE SIKU ALIYOKUFA CHIFU MANGUNGU KIONGOZI MWENYE AKILI ALIYEKUBALI WAJINGA WOTE WAFE WABAKI WATU WENYE AKILI KAMA CHIFU MANGUNGU,NA TUMWEKEE MNARA WA KUMKUMBUKA CHIFU MANGUNGU ILI TUMUENZI KATIKA KARNE HII.
 
ama kweli ule wimbo wa bukuku hapa ina application,UNAPOKUTANA NA VIKWAZO KILA MTU ATASEMA TULIJUA HAFIKI MBALI,vivyo hivyo inavotokea kwa jakaya.
 
Hivi ile Kasi Mpaya, Ari Mpya na Nguvu Mpya imeishia wapi? Maana tunachoshuhudia ni kasi ya kurudi nyuma, ufisadi, mgao wa umeme, kupanda kwa maisha na kuporomoka kwa shilingi yetu.Kwa hayo JK kwa kweli amejitahidi!
Zilikuwa mbwe mbwe tu za kuingilia MAGOGONI ilipo pepo ya TZ!
 
Back
Top Bottom