VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Hawezi kuwa mwingine.Ni yule ambaye Dr.Ulimboka na Madaktari wenzake wanamlalamikia.Ni katika harakati za kumnyamazisha na kutisha wengine.Ni huyu ambaye amewahi harakaharaka kuunda tume za uchunguzi au kutoa amri ya kufanywa uchunguzi wa kina.Ni huyu ambaye anajiandaa kujichunguza mwenyewe na kujipa ripoti mwenyewe.Atakuwa ni huyu ambaye ameacha kutoa taarifa za nini suluhisho la mgomo wa Madaktari leo Bungeni.Amefanikiwa kufanya alichotaka.Je,atafanikiwa kupata akitakacho?