Aliyekuwa mwenyekiti wa CUF taifa afariki dunia

Mungu ampumzishe mzee huyu mahala pema peponi na awalaani viongozi wote wasaliti wanaoiuza cuf kwa ccm.AWAPUNGUZIE SIKU ZA MAISHA YAO YA KISIASA NA KUWANYIMA HERI KATIAKA USALITI WAO
 
R.I.P. Mzee. Chini ya uongozi wa akina Mapalala na Musobi CUF ilionekana kama chama chenye dhamira njema na watanzania mbele ya jamii. Lakini baada ya wazee kung'atuka CUF sasa inaonekana kama chama chenye dhamira njema na waislamu mbele ya jamii.

Mungi, ondoa hii post hapa ni msibani muda huu
 
R.I.P. Mzee. Chini ya uongozi wa akina Mapalala na Musobi CUF ilionekana kama chama chenye dhamira njema na watanzania mbele ya jamii. Lakini baada ya wazee kung'atuka CUF sasa inaonekana kama chama chenye dhamira njema na waislamu mbele ya jamii.

Perfect Mungi!
 
Back
Top Bottom