Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Dadi Faki Dadi afumaniwa na mtoto wa mkewe

Status
Not open for further replies.
Wenzake wanajiandaa na Ramadhani kutubu yy anavunja jungu'' anatembea na mtoto wa mke wake hahahahahaha kweli kichwa cha chin kikisimama cha juu hakifany kaz
Duu mkuu umetisha sana kumbe kichwa cha chini kina nguvu zaidi ya cha juu
 
Rekebisha mkuu,sio Leo ni Jana hii issue

Aisee jamani Bonge la Aibuuuu.
Hii Hotel ipo Kilimani Chini pale Magereza,Karibia na Club ya kwa Raju jirani tu zimepakana.
Na mwenye Hotel ni huyo Mnene aliesimama kwenye Gari.
Huyu Dadi kama sikosei aliteuliwa Kuwa Katibu Ikulu Ndogo ya Pemba ,if sijakosea.

Aisee ni tukio la aibu saana,linanikumbusha wale Wabunge wa chama fulani kule Dodoma waliopata msala kama huu.
Aibu sana,Mwanaoooo,hata hao wazungu na ushenzi wote hii ni too much.
Hope Mheshimiwa raisi atatengua uteuzi wake Mara moja,na uzuri wa kesi hii hata kama mama akiifuta basi Jamhuri inamshtaki.
Nimependa jinsi mama alivyo react,maana ameshindwa hata kuongea vizuri,na hakumface mwanae,maana anajua mwanae atakuwa either anatisha au alishawishiwa kwa uwezo wa hali ya juu.
 
Njooni wote hapa jamvini tuondoe itikadi zetu kama zipo na tulaani kitendo hivi kwa umoja wetu.
Ni laana isiyositirika katika jamii za kiafrika maana huyu jamaa anataka kutugeuza wanyama ali tu binadamu wenye akili timamu!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom