Aliyekuwa mgombea uras 2010 NCCR kunyang'anywa kadi

nccr wamutoe Mbatia harafu Mbowe anaweza kuunganisha kambi ya upinzani yenye mtanzamo wa vyama vingi vya upinzani.Haiwezekani chama cha upinzani kikawa kimoja yaani chadema halafu kukawa na vyama vingi vinavyo pinga upinzani!
 
Hivi vyama hivi..mimi ndio maana nachagua mtu siyo chama period

Chama wakileta mtu mbovu nachagua aliyebora katika waliosimamishwa na vyama.
 
Sintopenda kuanzisha mada mpya ila nawapa leo utabiri wangu..

Mwaka 2012 kuna chama kipya kitaundwa na kuna uwezekano kikaitwa CCJ nawaona vijana wengi sana wasomi ambao kwa njjia moja ama nyingine wataondoka chama CCM, CUF, Chadema na hata kuua vyama vingine vidogo kuunda chama hiki. Chama hiki kitatokana na dhana ya kwamba wanaunda Upinzani wa kweli na hakika uchaguzi wa mwaka 2015 kitaleta ushindani mkubwa sana kwa Chadema lakini kama ilivyo kawaida watagawana kura na CCM ataendelea kutawala.
2. Muafaka baina ya CUF na CCM utakomaa zaidi na upinzani utapungua kabisa kiasi kwamba siasa za chuki baina ya bara na Zanzibar zitakwisha, shukran kubwa kwa Shein na Seif kwa sababu Wazanzibar wengi walichokitaka ni kuona uuwiano wa madaraka, hizi siasa nyinginezo ilikuwa kutafuta kiti meza kubwa..


Nawakilisha msije nimaliza kwa matusi lakini kaeni mkao wa sala....

Mkandara~Kama wewe ni profesa kwa hili sitakutambua kama profesa. Nitakutambua kama mbabaishaji na mtoto wa kijiweni. Nimechukua msimamo huu kwa sababu kama wewe mpaka leo umeshindwa kuona kwamba shida ya Watanganyika siyo utitiri wa vyama vya siasa! Bali ni muungano wa kifikra utakaoleta mabadiliko katika mifumo yote ya maiosha yao ya kila siku! Kwa mawazo yako nachelea kukuita kuwadi na kibaraka mkubwa wa mafisadi na chama chao (CCM). Hiyo mbinu mnayokujanayo ni ule ule mkakati wa mafisa wa kuwagawanya wananchi katika makundi ya kisiasa na ya kidini ili waweze kushinda kiulaini 2015. Tumeshawashutukia wanafiki wakubwa mnaofikiria kwa matumbo yenu tu badala ya vichwa vyenu. Mshindwe na mlegee mpaka mjikojolee!!!
 
Yule hafai kabisa kuwa rais na alipowekwa kugombea nadhani upofu wa ncr ulionekana wazi
 
Joseph Selasini alikuwa nccr mageuzi tena karibu sana na Jemus Mbatia, sijui aligundua nini akatimua mbio akavaa magwanda fasta, sasa hivi ni mbunge, teh teh teh
Joseph Selasini alimfuata Kaka yakeMASUMBUKO lamwai akamwamuuliza niende wapi kati ya CCM na CDM,kaka yake akamwambia nenda CDM,akamwambia pia kua CCM siasa zake ni za MAJI YALIYO CHANGANYIKANA NA KINYESI.
 
"The only good Mbatia is a dead Mbatia! " Anaishi kwa upanga naye atakufa kwa upanga!
How long are we going to allow the destroyers of our destiny and our dreams go scot free without the punishment they deserve?
Down with the traitors! down with the plunderers! Down with the timid and cowardry! down with the dream killers!
 
Back
Top Bottom