Aliyekuwa Mgombea Ubunge CHADEMA Shinyanga, afariki

Sote kwa kweli tumeguswa kwani hakuishi kuona CHADEMA ikichukua nchi 2015. Poleni wana CDM woooote kwa kuondokewa na Kamanda Mpambanaji. Lakini kuvunjika kwa Koleo siyo mwisho wa Uhunzi " ALUTA CONTINUA!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sote kwa kweli tumeguswa kwani hakuishi kuona CHADEMA ikichukua nchi 2015. Poleni wana CDM woooote kwa kuondokewa na Kamanda Mpambanaji. Lakini kuvunjika kwa Koleo siyo mwisho wa Uhunzi " ALUTA CONTINUA!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimeamini wema huwa hawadumu nakumbuka tulivyokuwa tunahangaika mkoa mzima Kahama, Maswa, Malampaka, Meatu, Maganzo tulibakiza Bariadi tu kuiweka ndani ya Chadema tulikuwa mbioni kuivamia Bariadi kwa Mapesa na Chenge.
 
Poleni sana wana CHADEMA, na wapenda haki wote. Kesi yake ya kupinga matokeo ya Uchaguzi ndiyo imekufa? au Chama kitaiendeleza?
 
jamani tupeni taarifa kuwa ajali imetokea saa ngapi na wapi huyo jamaa ni mtu wa watu na ni pengo kubwa kwa chadema
 
Poleni sn ndungu zangu wana CDM,ni pengo kubwa sn kwa chama chetu km hizo taarifa ni za kweli!tujuzeni zaidi
 
Shilembi magadula mtu aliyeshinda ubunge shinyanga mjini kupitia chadema na baadaye kuchakachuliwa na makamba ambapo ushindi alipewa masele wa ccm amefariki usiku wa kuamkia leo. Chanzo cha msiba huo ni shinikizo la damu alilopata jana asubuhi ambalo lilipelekea kupooza upande mmoja. Source ni mimi maana naishi shinyanga
 
mh! sitoi R.I.P. I dont believe you any more. You cannot be the source.
 
Habari hizi tayari zimesharushwa kupitia vyombo mbali mbali vya habari na pia Makao Makuu ya chama imeshathibitisha, muda huu Srekretarieti ya CDM ipo kwenye kikao juu ya maandalizi ya mazishi na wakati wowote wakimaliza kikao taarifa rasmi zitatolewa.

Shelembi alikua mpambanaji sana hata baada ya kuchakachuliwa alishindwa kwa kura moja jambo ambalo lilileta zahma katika Halmashauri ya Shinyanga na kupelekea jengo hilo kuchjomwa moto na wananchi wenye hasira.

Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu.

Amina.
 
Amen...
Ndg wana JF., nimepewa taarifa kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika kuwa aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini (CHADEMA) mwaka jana, Bw. Shelembi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo ktk hospitali ya Mkoa Shinyanga. Alipelekwa huko usiku akiwa na BP ya juu.

Mungu ailaze mahalipema peponi roho ya marehem Shelembi..... Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana libarikiwe.
 
Mungu akutangulie katika makazi ya milele,poleni sana watanzania wote wapiganaji.Amen
 
Mungu akupokee,akusamehe na akupe mapumziko ya milele.Tutakukumbuka kamanda!
 
Msisahau pia kuwa huyu jamaa alikuwa diwani.Manake aligombea post 2 moja akapata ingne akakosa.Kiukweli shelembi alikuwa jembe haswaa,halmashauri palikuwa pachungu kwa uwepo wake kama diwani,kiufupi huyu ndo alikuwa rais wa shinyanga mjini.
Nao
 
Back
Top Bottom