Aliyekuwa Mgombea Ubunge CHADEMA Shinyanga, afariki

Jamani mimi nimesikia mbatia akitoa pole kwa chadema kwa ajali! alikuwaq akiongea katika kipindi cha tuongee asubuhi cha Star TV. Wanaojua vizuri watujuze!

Source Star TV
 
Msiba kwa cdm na wapenda maendeleo wote nchini lakini furaha kwa ccm ushindi wao wa kuchakachua hauna tena mpinzani. R I P kamanda wetu tuko nyuma yako
 
Pia habari hii inapatkana kwenye wall facebook ya Zitto Kabwe, amemuelezea km diwani, mwenyekit mkoa, mjumbe wa CDM taifa na mwasis wa chama mkoa. R.I.P mpiganaji.
 
na kifo chake kiwe chachu ya mageuzi ya kweli mkoani shinyanga
 
Mh Shelembi Phillip Magadula...dah jamani kifo hiki kibaya sana, huyu ni kamanda na Mpiganaji wa ukweli...NIMESIKITIKA SANA SANA ...NIMELIA SANA SANA..NAKULILIA SHELEMBI...MBUNGE WA KWELI WA JIMBO LA SHINYANGA!!!!

UUUUWWWIIIIIIIIIIIIII KWANINI MUNGU SHELEMBI AMEONDOKA SO SOON...AHHHHH SHELEMBI SHELEMBI...

Nalia nanyi familia ya Kamanda wangu shelembi,nalia nanyi watu wa Shinyanga..nalia na wapiganaji wooote TANZANIA imepoteza mtu wa ukweli sawa na chacha wangwe asieogopa dah
 
Ni kweli ni pigo kubwa si kwa CHADEMA pekee bali kwa wananchi wa Mkoa wa Shinyaga na vitongoji vyake kwa kukosa kipenzi chao.
Mungu ailaze Roho ya Malehemu mahala pema! AMINA.
 
RIP kamanda wangu kifo chako ni chachu ya mapambano kwangu naahidi kuendeleza ulipoishia tunajua ulivyoijenga CDM mkoa wa Shinyanga na kanda yote ya ziwa hakika umeacha pengo wananchi wa shinyanga hatutakusahau nakumbuka siku tulipokesha pamoja kuilinda ile kura moja hakika tutakukumbuka milele.
 
Nitakukumbuka mpambanaji wangu

Ziara ya Zitto Mkoani Shinyanga wakati akimnadi Ndugu Phillip Magadula Shelembi-mgombea ubunge Shinyanga Mjini
Tarehe: 14-10-2010


Zitto akimnadi Ndugu Phillip Magadula Shelembi


Ndugu Phillip Magadula Shelembi

......
215.jpg


.........

.........

.........
 
Back
Top Bottom